Hivi kwa nini mengi ya manyanyaso ya wazazi wa kambo kwa watoto yanafanywa sana na wanawake (mama wa kambo) na si wanaume (baba wa kambo)?
Nani hukaa na watoto zaidi - baba au mama? Nani huhudumia watoto zaidi siku hadi siku?
Manyanyaso ni relative.
Nani hukaa na watoto zaidi - baba au mama? Nani huhudumia watoto zaidi siku hadi siku?
Manyanyaso ni relative.
Ndugu
Usikimbie swali mama wanawake wengi wanaroho mbaya
Usikimbie swali mama wanawake wengi wanaroho mbaya
Hivi kwa nini mengi ya manyanyaso ya wazazi wa kambo kwa watoto yanafanywa sana na wanawake (mama wa kambo) na si wanaume (baba wa kambo)?
it soundKwa kifupi ni kuwa mwanamke ana uhakika wa watoto ambao ni wa kwake na wasio wa kwake. Kwa mwanaume hata wale anaodhani kuwa wa kwake( hata wale waliozaliwa katika ndoa yake)inawezekana kuwa siyo wa kwake. Labda ndio maana wanaume hawahangaiki kubagua kwani hakuna maana yoyote.
ila watoto waliolelewa na mama wa kambo katili, wakiwa watu wazima halafu wawe na akili iliyotulia, huwa wanakuwa watu wazuri sana coz wanajua shida ni nini, ukatili sijui ni maumbile? nafikiri ni kitu ambayo mtu hawezi kupretend lazima atajisahau tu!! (me hate mama wa kambo katili) ila kuna wengine wako poa kweli kweli yaani roho muzuri mpaka basi. Big Up Mothersreggers:Hivi kwa nini mengi ya manyanyaso ya wazazi wa kambo kwa watoto yanafanywa sana na wanawake (mama wa kambo) na si wanaume (baba wa kambo)?