Kama mtoto wako analelewa na mama wa kambo kaa naye kwa ukaribu

Ben-adam

JF-Expert Member
Jun 2, 2023
765
1,669
Wanawake hawapendi watoto wasiowazaa hasa hawa watoto wadogo.

Kama wewe uliachana na mama wa mtoto wako kisa alikucheat, ni kwamba; mtoto huyo anapata maumivu makali kutoka kwa huyo mkeo unaemuona mwaminifu kuliko mama yake!

Hakuna mama wa kambo salama kwa malezi ya wanao, usidanganywe!

Baba fuatilia malezi ya mwanao kwa ukaribu.
 
Hili nalo mkalitazame
 
Mmmmmh sasa mbn mama zao hawataki
 
Sio wote jamani!
Mimi ninavyopenda watoto nabeba hata wa nisiowajua barabarani ijekuwa damu ya mume wangu?
Tahadhari ni muhimu ila msikose imani kwa wanawake wote.

Niliwahi kuwa na ex mwenye mtoto, mimi ndio nilikuwa namlazimisha aende kumuona mtoto na kutoa matumizi.
Wanawake wema wapo.
 
Wanawake wema tupo.
Mko wachache na ndio maana Imani haipo kabisa hivyo mwendelee kukaa kwa kutulia
 
Sio wote jamani!
Mimi ninavyopenda watoto nabeba hata wa nisiowajua barabarani ijekuwa damu ya mume wangu?
Tahadhari ni muhimu ila msikose imani kwa wanawake wote.

Niliwahi kuwa na ex mwenye mtoto, mimi ndio nilikuwa namlazimisha aende kumuona mtoto na kutoa matumizi.
Wanawake wema tupo.
Una Mtoto? Nijibu kwanza alafu tuendelee
 
Back
Top Bottom