Wazazi kuweni makini na watoto wenu kuangalia muvi zenye superheroes Content

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,686
106,811
Head's Up: Maneno nitakayoandika hapa haimaanishi kua nina dharau Uweza na Uumbaji/ Status ya-wa mwanamke katika Jamii.

Kwanza kabisa mimi ni mpenzi wa Superhero based content, hasa content zinazotengenezwa na kampuni ya Marvel. Muvi hizi zinapendwa na watu wengi sana duniani wa rika zote na Watoto wamekua wakiwatumia Superheroes mabalimbali kama role models wao kwa kuvaa nguo au kutumia "Toys" za superheroes.

November 5 mwaka huu Ilitoka muvi ya Eternals kutoka Marvel studios, Kwenye Muvi hiyo moja kati ya Superhero aliyomo ameigiza kama superhero ambaye anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja (Gay) kwenye muvi hiyo pia ameolewa na amezaa mtoto (Yupo yeye Superhero, mtoto na Mume wake)

2018 walipotangaza kwamba watamleta Muhusika wakwanza amabe atakaua anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja basi nilidhani Muvi hiyo itaapandishwa daraja na kua R-Rated (Restricted Rate) au PG 16 maana muvi zao Marvel zote hua ni PG13. Cha kushangaza ni kua muvi hiyk imepewa daraja la Parental Guide (PG) 13 yaani watoto wenye miaka 13 kupanda juu ndio wanaruhusiwa kuitazama.

Kwa wazungu angalau wao wapo punctual kufuatili mtoto anatazama kitu gani na kipo rated vipi lakini huku kwetu hakuna mzazi a anayejisumbua kujua hivi vitu Bora wazungu mtoto wa 13yrs anajitambua ila huku kwetu anakua bado kabisa. Sasa imagine mtoto wako wa miaka 13 au chini ya hapo anaona superhero wake anayempenda ni mwanaume na ana mtoto na mume unadhani anajifunza nini hapo???? Sio anaandaliwa mazingira ya kujua kwamba Mwanaume kua na mume ni sawa tu .

Kama nilivyo sema watoto wengi wanapenda superhero movies kutoka kama huamini uliza mtoto wako superhero gani anampenda uone atakavyowataja kibao.

Sio hovyo tu marvel studio chini ya Disney Company wameanzisha program ya kuswap superhero karibu wote wa kiume na kua replaced na wanawake.

Mfano: Loki kawa replaced na Sylvie, Thor replaced by Jane, Black Panther replaced by Shuri Nk nk.
Logic hapo ni kwamba Mtoto wa kiume anakua anaona kwa Mwanaume kua mwanamke ni jambo la kawaida

Na kwa Mwanaume kumfaya mwanamke kua role model wako ni jabo la kawaida...kwa tamaduni za afrika hasa hapa kwetu ni jambo la aibu na baya zaidi (sio maoni yangu) kwa Mwanaume kumuona mwanamke kua ndie Superior kwenye jamii na maisha yake.

Wazazi kuweni makini, swala la kupromote mapenzi ya jinsia moja kwenye jamii yanafanywa kwa nguvu zote na kwa kila njia. Kwa sisi waafrika Wanaopromote wala hawadeal tena na nyie watu wazima/wazazi muwe na mapenzi ya jinsia moja bali wanadeal na watoto zenu kuwaandaa kuona ni jambo la kawaida. Wanahakikisha wanakontroo kipi watoto waone,watoto wasome, watoto wasikilize na wanajua nyie wazazi wa afrika sio wafuatiliaji wa mambo.
Mambo ya PG hua mnaona ni nembo tu kwenye kipindi au Muvi.

Mtaishia kulalamika tu kwamba muvi za sasa zinapromote haya mambo wakati ninyi wenyewe sio wafuatiliaji na hamuoni umuhimu wa kujua nini ni nini...Kama wazazi wa kipato vha kati mtoto anaachiwa Smartphone haina Firewall anaingia popote pae anapoweza. Anafunguliwa Acc Netflix huko ndio kuna uchafu wote wa jinisa moja umejaa.
Kama unampenda mwanao usimuache atumie Streaming Channel kuangalia Cartoon au muvi kama vile Netflix, Peacock,Hulu,HBO, AMC nk nk

Ni hayo tu wakuu poleni kuwachosha✌️✌️
Muvi hii haifai kuangalia mwanao mwenye umri chini ya miaka 18. Take care kama anapenda superhero movie ataitafuta aione soon inakua released kwenye Streaming Channel na torrents
images (6).jpeg
 
Jumapili nilikua beach.akapita jamaa kavaa tishet Ina alama ile ya rainbow.
Nikijiuliza huyu anajua maana ya ile alama.
Ghafla akapita mtoto na mama yake yule mtoto nae kavalishwa tishet Ina alama ya rainbow.
Ile alama NI alama ya kawaida ambayo inatumika Hadi mashuleni.
Wazungu wajanja sanaa.unaweza kuwasapoti harakati zao bila hata kujua.hyo alama ya rainbow NI mtego
 
Dunia hii kwa sasa hovyo sana.
Ukitafuta hollywod series ya Drama kwa sasa, zilizo trend zote zina mapenz ya jinsia moja.

Kiukweli mzazi anae mpenda mtoto wake kwa sasa anatakiwa kuwa makini na kile ambacho mtoto anaangalia kwenye TV na internet
 
Piga picha WWE wakafanya huo ushenzi, aiseee kiukweli watoto wa afrika wengi watakamatika kirahis sana.
John Cena aka date na Roman Reign 😂😂🤣🤣
 
Tusichokijua na kukitambua wazungu wameondoka kututawala physically ila bado wapo mentally wanatutawala bila sisi kujua.
Jamii zitaendelea kuharibika mpk tutafute mchawi nani kumbe ni hizi TV tulonunua sisi wenyewe ndo zinapotosha familia zetu.
Kila mtu kwa Imani yake awalinde watoto wake awafunze zaidi yale Mungu anoyapenda kuliko kufuatilia sana hizi movies.Najua watakaoelewa ni wachache mno

Wazungu bado wanatutawala tuamkeni
 
Head's Up: Maneno nitakayoandika hapa haimaanishi kua nina dharau Uweza na Uumbaji/ Status ya-wa mwanamke katika Jamii.

Kwanza kabisa mimi ni mpenzi wa Superhero based content, hasa content zinazotengenezwa na kampuni ya Marvel. Muvi hizi zinapendwa na watu wengi sana duniani wa rika zote na Watoto wamekua wakiwatumia Superheroes mabalimbali kama role models wao kwa kuvaa nguo au kutumia "Toys" za superheroes.
Duh...!
 
ndio mimi napenda muvi za mapigano sio unaangalia muvi dume kazi kulilia mapenzi tu
Hizi ndio za kumpa mwanao angalie kwanza zipo kihalisia tofauti na hizo za super hero na pia inafanya dogo akae kiume zaidi sio unampa mwanao muvi kama kulfihalafu unategemea hawe na tabia za kiume

images (6).jpeg


images (4).jpeg


images (5).jpeg


images (7).jpeg


images (8).jpeg


images (8).jpeg


images (9).jpeg


images (9).jpeg


images (9).jpeg
 
Back
Top Bottom