Wazanzibari wataka ajira kwa Watanganyika huko Visiwani ikomeshwe; wagonga mwamba!

Jamani Najaribu kutafuta kujua Interest ya Tanganyika kwenye huu Muungano ni nini haswa sipati jibu.

Kama kuna mtu anaweza kuniambia hizo interest na itakuwaje iwapo tutaamua kuachana nazo ntashukuru sana

ccm inapata viti vingi vya ubunge toka huko kitu ambacho chadema hawawezi!
 
Duh yaani inaonekana wazi kuwa wenzetu hawatutaki kabisaaaa. Chao chao chetu chao. Nadhani pamoja na huo muswada kutopita lakini kwa hakika wabara hawana chao.
 
Hivi ni kweli huyu Jusa na wenzake wanajua kuwa na sisi tukiamua kufannya hivi itakula kwa nani?
huu ni ujumbe tu umfikie
Ukifuatilia mjadala ndani ya baraza la wawakilishi ni wazi kuwa 'target' ya Wazanzibar ni Wabara, siyo wachina, wakenya au waganda. Kwahiyo ni ubaguzi na chuki dhidi ya bara. Jusa ana damu ya Sultan na jitihada zake ni sehemu ya kurudisha usultani. Ni hakai ya Wazanzibar kukubali au kukataa na hilo sioni kama Tatizo.

Kulinda ajira ni haki ya Wazanzibar. Niwakumbushe kuwa huko nyuma walikuwa na utaratibu wa kwenda Unguja na Passport kama unatoka bara. Bara wakasema nao waje na Passport, iliwachukua wiki mbili Wazanzibar wakafuta upuuzi huo kwasababu walikuwa katika 'wrong side' na wangeumia

Tusiwalaumu Wazanzibar, tujilaumu sisi wenyewe. Ukisoma mabandiko ya nyuma hili tuliliona mapema sana na tulishaliongelea. Waacheni walinde ajira zao.

Tatizo ni sisi Watanganyika! Ukitembea nchini nzima Wazanzibar wameajiriwa kwenye serikali na sekta binafsi kwa wingi kuliko idiadi ya Wazanzibar walioko Zanzibar.

Ningetoa wito ingawa siyo jambo jema lakini Mzanzibar hataelewa kwa lugha nyingine ya kitaalamu hadi atakapopata kipigo.

Tuanze kampeni ya kuwafukuza katika ajira bara. Ukimuona karani mzanzibar ujue hiyo ni nafasi ya mdogo,kaka au dada yako ambayo imechukuliwa na mzanzibar. Ufahamu kuwa nduguyo hatapata ajira Zanzibar kwasababu yamesemwa na wameshauriwa watoe vipaumbele. Kwahiyo ni ubaguzi na huna sababu ya kuwa mkarimu

Ukimuona mzanzibar mkurugenzi ujue hiyo ni nafasi yako Mtanganyika. Ukiona Mzanzibar kaajiriwa popote ujue umedhualumiwa maana wewe huwezi kupata nafasi hiyo kwao, umebaguliwa

Kuanzia Jumatatu, ukimuona mzbar ofisini , mwambie Asalam alaykum, Ondoka hatukuhitaji. Mwambie aende kwa Jusa ampe ajira. Natoa wito hili lianze kesho jumatatu. Ukipata nafasi ya kufanya hila apoteze kazi fanya hivyo ili aajiriwe Mtanganyika na yeye mzanzibar arudi kwao.

Bila kuwaonyesha hawa watu kuwa hatuwahitaji na hatuna tunachofaidi kutoka kwao wataendelea kutunyanyasa kila siku kama watoto wadogo. Lazima tusimame sasa na tuanze kampeni za kuwafukuza katika ajira.

Tusipoteze muda wa kumjadili mwendawazimu mmoja, tuhangaike na hawa walioko kwetu. Nasema tuanze kampeni kuanzia karani hadi waziri.

Miaka nenda miaka rudi wamekuwa wanatuona kama wanyama, kama sisi ni mahaini, madhalimu. Sasa enough is enough.
Ukimuona Mzanzibar mwambie wazi kuwa hatuna raha kumuona anafanya kazi kwetu. Kama kuna unaloweza kufanya mtu huyo apoteze kazi usisite.

Ninaumia sana kuona kodi yangu inanua mbeleko halafu aliye mgongoni anataka kucheza mpira. Hawa hawana lolote wanalotusaidia kataika muungano, waacheni waondoke tena ikiwezekana kesho.

Narudia tatizo siyo wazanzibar tatizo ni sisi tunao wachekea huku bara. Tuanze Jumatatu hii ukimuona mzbar mwambie rudi kwenu. period. Tusiwape ushirikiano na wawe 'target' kama wanavyotu target. Ukipata nafasi ya kumfungisha virago, do it!

Inauma, inaudhi, inakera. Hakika wanatusukuma tupoteze busara lakini hakuna busara kwa asiye na busara

Jumatatu hii tuanze na kuwaambia 'Nendeni kwa juasa awape ajira'. Tuanze leo hatuna muda wa majadiliano, tumejadiliana sana. Kama hatuwezi kuwaambia waoandoke basi tusione uchungu wadogo zetu wakitembea na bahasha za khaki kuomba ajira zilizochulkuliwa na wazanzibar.

Jumatatu, tuanze sasa hakuna muda wa kupoteza. Chochote kinachowezekana kifanyike hadi waone ajira za bara ni adhabu. Ukiwa mwajiri jisikie dhambi kumwita mzanzibar katika interview.
Tuanze kampeni sasa kwa kila linalowezekana hadi warudi kwao.

Tusikubali kubagauliwa na kikundi cha watu wachache hawa. Fire them
 
waachani maana mdogo anabaki kuwa mdogo tu!!!! tanganyika ndio kila kitu....zanzibar kama ilala tu.....waache waongee mwisho watanyamaza....wengi wa znz hawajielewi wanaelekea wapi ....wanaojielewa ni wale waliotoka znz na kurudi wanajua maisha.juzar hana sera yoyote...yeye ni chuki za wabara......hana mawazo ya kiuchumi....baada ya kudili na wageni kutoka italy,kenya
 
Naunga mkono, tuwafukuze pia na kwenye makazi huku bara. Najua kuna wazanzibari wengi tu wananyumba na mashamba bara. Umefika wakati wa kuwalazimisha wayauze au wanyang'anywe kwa nguvu na asitokee mtu wa kutoa ushahidi dhidi ya Mtanganyika atakayemuonea Mzanzibari
 
If I am sked to mention racist politicians in Tanzania, the top on my list would be Jussa Ladhu. Worse enough Zanzibaris take Ladhu's personal stands blindly!

Jusa hajui kuwa watakao athirika na wazo lake hilo ni wapemba wenzake waliojaa bara na viduka vyao
 
Jf naomba mnijibu, Tanzania bara tunapata faida gani na huu muungano?
-Hamuoni kuwa uwepo wa huu muungano unatengeneza ajira zaidi kwa wazenji huku bara, katika kulinda kile kinachoitwa muungano?

Vunja muungano, na baada ya hapo waingie kwa viza Bara.
 
Si ajira peke yake pamoja na elimu pia. Wanabebwa bebwa na vipas mark vya kuungaunga na superglue.tunapozungumzia ajira hata biashara pia.tutawaondoa wote na vibiashara vyao vya electronic feki
 
Nimefarijika sana kuona kuwa kuna Wazanzibari wanaoona mbali, hao vipofu waache waongazane wenyewe hadi shimoni. Ni mawazo ya kibinafsi mno kuwataka Watanganyika wasipate ajira huko Zanzibar wakati huku Tanganyika wao wamejaa tele.
 
Naunga mkono, tuwafukuze pia na kwenye makazi huku bara. Najua kuna wazanzibari wengi tu wananyumba na mashamba bara. Umefika wakati wa kuwalazimisha wayauze au wanyang'anywe kwa nguvu na asitokee mtu wa kutoa ushahidi dhidi ya Mtanganyika atakayemuonea Mzanzibari
Kaburu sio lazima awe mweupe, huu nao ni ukaburu.
 
[h=2]Zanzibar Reps faulted over `jobs for Mainlanders` debate[/h]


By The guardian reporter



9th April 2012













East African Cooperation deputy minister Dr Abdala Juma Saadalla has strongly criticised Members of the House of Representatives for championing a campaign to deny mainlanders jobs in Zanzibar, saying the lawmakers have poor knowledge on global economic affairs.
The minister advised that Zanzibar should strengthen its tourism college to enable its youth to compete in the employment market.
Speaking to The Guardian in an exclusive interview Dr Saadalla said that the acts by the representatives to deny mainlanders from securing jobs in the isles are a breach of the Union Constitution.
He said according to the 1977 Constitution, every Tanzanian has the right to work at in part of the Union without breaching the law.
Saadalla said the jobs which mainlanders are doing in Zanzibar are legal and similar to those Zanzibaris are doing on Mainland.
“Those who want mainlanders to be denied employments in Zanzibar have poor understanding of global economic issues,” the Minister, who is also the Rahaleo Representative in Zanzibar, said.
He said the motion defended by Members of the House of Representatives from Civic United Front (CUF) and Chama Cha Mapinduzi (CCM) has no space in the East African Common market.
Saadalla said allowing the Representatives to debate discriminatory motions in the law making body is a breach of the country’s Constitution since all the Representatives have taken oath to safeguard and defend it.
Kenya has provided opportunity for ten youth from Zanzibar to go to study in Mombasa Tourism College each year but the government has failed to use the chance.
He however said that Rwanda and Burundi are in need of Kiswahili teachers but surprisingly there is no one from the Isles who has applied for the posts.
“Our main problem is laziness…we should not complain that our jobs are being taken by foreigners while there are many posts which we fail to utilise in the East African Community,” Dr Saadalla said.
For his part, Ambassador Ali Karume said that mainlanders have been working in Zanzibar even before the Union of Tanganyika and Zanzibar in 1964.
“I can’t see the reason for denying them jobs while they (including police) have been working here even before the Union was formed,” Karume said.
He said mainlanders cannot be restricted from working in Zanzibar, the area within the Union, because such acts may undermine Union politics and create discrimination among its people.
Said Moyo, who resides at Mwembenjungu Zanzibar, said he does not agree with the idea of denying mainlanders jobs in Zanzibar because doing so would be tantamount to discrimination.
He said it is impossible to set boundaries on jobs within a single nation while there are Zanzibaris working on the the mainland.
On February 5, this year Members of the House of Representatives and the Isles government were at loggerheads when debating an amendment to the Tourism Act which almost ended up in barring mainlanders from securing jobs in Zanzibar.
The debate culminated in a voting by the members to decide whether Mainlanders should continue to seek jobd in the tourism sector in Zanzibar or they should instead be banned so as to retain the same for Zanzibaris.
The episode came after Ismael Jussa Ladhu (Stone Town, CUF) asked the House to consider a section that provides for procedures of employment in the tourism sector when it sat as a committee to approve amendment on the Tourism Act, No. 6 of 2009.
Jussa had said Section 23 (3) of the Bill states that an employee in the tourism sector must be Tanzanian.
“This word Tanzanian must be cancelled and be replaced by the word Zanzibari in order to protect employment for the islanders,” Jussa had said.
The Bill’s Section 23 (3) states that “Any person who does tourism business who has employed a person, who is not Tanzanian to work for him, must receive a written permit from the minister after proving to him that there is no person from within Zanzibar to fill the vacancy.”
Jussa had said, to allow people from the Mainland to work in the tourism sector, was to make foreigners profiteer from the sector, while many Zanzibaris do not have jobs.
However, defending the Union, Culture and Sports minister Abdillah Jihad Hassan intervened and said it was impossible to ban people from the Mainland to access and benefit with employment from Zanzibar because that would be tantamount to going against the international labour laws.
Tanzania Mainland and Zanzibar, he said, have signed international labour laws and it was impossible to amend laws that go against the international legal regime taking into account that Zanzibar was part of the Union government.
 
Mimi naimani kubwa wa zanzibar wengi tu wamefika bara na yapo walioyo yapata hapa bara mazuri sithani kama wale wananchi wana nia ya kutubagua, labda niseme wapo watu amakundi au vkundi ama viongoz wanao waotesha wa zanzibar ndoto za kibaguz ucku
 
Jf naomba mnijibu, Tanzania bara tunapata faida gani na huu muungano?
-Hamuoni kuwa uwepo wa huu muungano unatengeneza ajira zaidi kwa wazenji huku bara, katika kulinda kile kinachoitwa muungano?

Kama hatuna faida na Muungano, vunja wizara ya muungano na bajeti ya wizara hiyo peleka hosipitali ikanunue vitanda.

Vunja muungano, na baada ya hapo waingie kwa viza Bara

Kibanga Msese
 
actually, Jusa ni mtu mpu.mbavu sana, kati ya watu ambao at least usalama wa taifa unatakiwa kuwa karibu naye, ni huyo. sijui serikali iko wapi?
 
Mwaka huu lazma kieleweke Simba yamo ndani ya nyumba, CCM wenyewe walijua huyu ndiye atakayeifanya Zanzibar ipate Uhuru wa kweli! Fuatiliani kipindi hichi Makongamano yanayoendelea Zanzibar kuhusu kukataliwa Muungano, tunafanya tunavyotaka hakuna yeyote ambaye ana uwezo wa kutufanya chochote UV-CCM zanzibar na Viongozi wengine wanabaki kulalamika sababu wao ndo wanaulinda Muungano, tangu tumeanza hajapigwa hata Sisimizi, heko Maalim karibu Jamhuri ya watu wa zanzibar huru itapatikana!
 
Back
Top Bottom