Wazanzibari wataka ajira kwa Watanganyika huko Visiwani ikomeshwe; wagonga mwamba!

Jussa alisema kwamba kifungu cha 23 (3) cha sheria kinachosema ajira katika sekta ya utalii lazima awe Mtanzania neno Mtanzania lifutwe na kuweka lazima awe Mzanzibari kwa malengo ya kulinda na kuongeza ajira kwa Wazanzibari.
Kwa kweli tunapoelekwa siko kabisa, Hili suala la ubaguzi linalofanywa na wanzanzibari limezidi kushamiri sasa, tunalipatiaje ufumbuzi?
Ama kweli huyu jamaa ni juha sana. Kwa nini akataka liondoshwe neno Tanzania liwekwe Zanzibar, bila ya kuzingatia kuondoa neno Wageni/ Watu kutoka nje ya Zanzibar?

Kwa sababu ambazo nimeshazisema kabla, suluhisho la ajira Zanzibar halitapatikana kwa kuondosha neno Tanzania bali kusomesha vijana wao.
 
Huu muungano tangu hapo wanzo ulikuwa una kasoro,zanzibar kwa wakati inaunana na tanganyika ilikuwa na watu laki tatu(300000) tu tanganyika ikiwa na watu millioni ishirini au zaidi(2000000 etc), ukiangalia kigezo hicho tu utaona kuwa huu muungano ni pokos pokos bhaembla bhahal

huwezi kumuweka tena na chura kwenye dimbwi la maji halfu uwambie washindane kunywa maji,tembo atashinda tu
 
No offence to anyone lakini wazenji wengi hawapendi shule at all. Sasa wanategemea endesha nchi bila shule? Na pili wengi wao ni wavivu wa kazi. Hata ukauliza watanzania wanaoishi UK watakwambia kwanza wanajibagua na wabara, hawaendi kw misiba ya watu, kazi hawafanyi etc. Kuna aliyekuja omba kaz bara akanyimwa sababu katokea zenji? Hii karne ya 21 waamke!!!!
 
Wakipitisha hilo watasema baadae ni wazanzibari wenye ngozi nyeusi tu. Huyo Jusa hajui anajichimbia kaburi mwenyewe kidogo, kidogo.
 
It is very dangerous for a Minority to invoke race card in an attempt to win favours from a system. By so doing he is setting a precedent that will ultimately be used against him by others who will use the Minority's race as a reason for discrimination.
 
They have shrink vision & focus. What i grasps from JUSSA almost discriminate mainlandies and christians.
 
Tunafahamu kuwa muungano huuiliwekwa na Nyerere juu ya hofu yake na nchi za Mashariki kwa Zanzbr, na kumsaidia Karume kushika madaraka. Pili, ninaomba wana JF mnisaidie, Tanzania Bara tunanufaika na nini katika muungano huu, tuna faida gani nao? Kuna hasara zipi tunapata kwa Muungano kuwapo na kutowapo?
#Swali hilo pia wazanzibar nao wanabidi wajiulize.

Jussa ni mbaguzi. Alipendekeza Rais ajaye wa Jamuhuri atokee Zanzbar (haina tatizo, mbana Mwinyi alikuwa), Lini raisi ajaye wa huko Zanzbar atatokea Bara?
-Watanzania Bara hawaruhusiwi kununua ardhi zanzbar, lakini wao wanamajumba huku Bara.
-Lini wabunge wetu watahudhuria vikao vya baraza la wawakilishi, kama wao wahudhuriavyo mjengoni?
-Hivi Bara na Zanzibar, tunalipa sawa bei ya unit moja ya umeme na maji?
-Kuna waizri yeyote atokeaye bara katika baraza la mawaziri la huko Zanzbar?
-Idadi ya raia wote wa Zanzbar ni sawa na idadi ya watu wa mkoa mmoja tu kama Arusha hivi, yet wana uwakilishi sawa kwa kila jambo. Mfano tume ya katiba.

Jusa atambue kuwa siyo kuwa watu wa bara hatuoni hili, waliwapiga na kuwachomea moto vibanda vya biashara vya watu kutoka bara huko zanzbar, kwani watu wa bara hatuoni viduka vya wapemba huku, au mnadhani huku viberiti hamna?

Kibanga Msese
 
wabara nao watasema hakuna asiye mbara anaruhusiwa kuwa na dala dala au duka la reja reja au la jumla
 
They have shrink vision & focus. What i grasps from JUSSA almost discriminate mainlandies and christians.
 
JUSA JUU JUU......JUU ZAIDI ENDELEENI HIVYOHIVYO HAWA JAMAA WANAJUA WHAT'S NEXT MI NI MZENJI NIKO HAPA MORO MPAKANI MWA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WATU WENGI HAWAIFAHAMU HISTORIA DAR, PWANI, TANGA, LINDI, MTWARA, COMORO NA VISIWA VINGINE HATA SEHEMU YA MOZAMBIQUE NI SEHEMU YETU.
TANGU AWALI MPA KA UKO HIVYO WAJERUMANI WALING'ANG'ANIA ILI KULINDA PWANI WALIYOITUMIA KWA MAMBO YAO (ingawa babu zetu wa Oman walikataa). Halafu watu wanaandika humu ati sisi hatujasoma, ulizeni wazazi wenu! KINACHOWAUMIZA WENGI NI DARA IKIONDOKA NDO ROHO YAO WAKO TAYARI KUTUCHIA MWANZA ILA SIYO DAR ILI WAENDELEE KUTUKANDAMIZA KAZA KAMBA JUSA HADI JUMUIA YAKIMATAIFA ITUPIE JICHO SUALA HILI TURUDI MEZANI HAKI IPATIKANE NDO MAANA KAMBI ZA JESHI VISIWANI ASKARI WOOTE NI WABARA NA MZENJI AMBAYE NI MJESHI YUKO BARA NA WAMEWEKWA 5 KWA 70 HAPO MPO????
 
Tumewasikia, tunawaombea utekelezaji wa haraka.wamesahau kuwa kichwa cha binadamu kina macho mawili, na macho hayo yanaangalia upande mmoja, kunaupande yanategemea kama si shingo basi ni miguu ili yaweze kuona. ASIYEJUA MAANA HAAMBIWI MAANA.
kama ni kidonge hiki kinatibu UKIMWI. unajua nyoka hawezi kuficha ulimi.
 
Jamani Najaribu kutafuta kujua Interest ya Tanganyika kwenye huu Muungano ni nini haswa sipati jibu.

Kama kuna mtu anaweza kuniambia hizo interest na itakuwaje iwapo tutaamua kuachana nazo ntashukuru sana
 
Ukifuatilia mjadala ndani ya baraza la wawakilishi ni wazi kuwa 'target' ya Wazanzibar ni Wabara, siyo wachina, wakenya au waganda. Kwahiyo ni ubaguzi na chuki dhidi ya bara. Jusa ana damu ya Sultan na jitihada zake ni sehemu ya kurudisha usultani. Ni hakai ya Wazanzibar kukubali au kukataa na hilo sioni kama Tatizo.

Kulinda ajira ni haki ya Wazanzibar. Niwakumbushe kuwa huko nyuma walikuwa na utaratibu wa kwenda Unguja na Passport kama unatoka bara. Bara wakasema nao waje na Passport, iliwachukua wiki mbili Wazanzibar wakafuta upuuzi huo kwasababu walikuwa katika 'wrong side' na wangeumia

Tusiwalaumu Wazanzibar, tujilaumu sisi wenyewe. Ukisoma mabandiko ya nyuma hili tuliliona mapema sana na tulishaliongelea. Waacheni walinde ajira zao.

Tatizo ni sisi Watanganyika! Ukitembea nchini nzima Wazanzibar wameajiriwa kwenye serikali na sekta binafsi kwa wingi kuliko idiadi ya Wazanzibar walioko Zanzibar.

Ningetoa wito ingawa siyo jambo jema lakini Mzanzibar hataelewa kwa lugha nyingine ya kitaalamu hadi atakapopata kipigo.

Tuanze kampeni ya kuwafukuza katika ajira bara. Ukimuona karani mzanzibar ujue hiyo ni nafasi ya mdogo,kaka au dada yako ambayo imechukuliwa na mzanzibar. Ufahamu kuwa nduguyo hatapata ajira Zanzibar kwasababu yamesemwa na wameshauriwa watoe vipaumbele. Kwahiyo ni ubaguzi na huna sababu ya kuwa mkarimu

Ukimuona mzanzibar mkurugenzi ujue hiyo ni nafasi yako Mtanganyika. Ukiona Mzanzibar kaajiriwa popote ujue umedhualumiwa maana wewe huwezi kupata nafasi hiyo kwao, umebaguliwa

Kuanzia Jumatatu, ukimuona mzbar ofisini , mwambie Asalam alaykum, Ondoka hatukuhitaji. Mwambie aende kwa Jusa ampe ajira. Natoa wito hili lianze kesho jumatatu. Ukipata nafasi ya kufanya hila apoteze kazi fanya hivyo ili aajiriwe Mtanganyika na yeye mzanzibar arudi kwao.

Bila kuwaonyesha hawa watu kuwa hatuwahitaji na hatuna tunachofaidi kutoka kwao wataendelea kutunyanyasa kila siku kama watoto wadogo. Lazima tusimame sasa na tuanze kampeni za kuwafukuza katika ajira.

Tusipoteze muda wa kumjadili mwendawazimu mmoja, tuhangaike na hawa walioko kwetu. Nasema tuanze kampeni kuanzia karani hadi waziri.

Miaka nenda miaka rudi wamekuwa wanatuona kama wanyama, kama sisi ni mahaini, madhalimu. Sasa enough is enough.
Ukimuona Mzanzibar mwambie wazi kuwa hatuna raha kumuona anafanya kazi kwetu. Kama kuna unaloweza kufanya mtu huyo apoteze kazi usisite.

Ninaumia sana kuona kodi yangu inanua mbeleko halafu aliye mgongoni anataka kucheza mpira. Hawa hawana lolote wanalotusaidia kataika muungano, waacheni waondoke tena ikiwezekana kesho.

Narudia tatizo siyo wazanzibar tatizo ni sisi tunao wachekea huku bara. Tuanze Jumatatu hii ukimuona mzbar mwambie rudi kwenu. period. Tusiwape ushirikiano na wawe 'target' kama wanavyotu target. Ukipata nafasi ya kumfungisha virago, do it!

Inauma, inaudhi, inakera. Hakika wanatusukuma tupoteze busara lakini hakuna busara kwa asiye na busara

Jumatatu hii tuanze na kuwaambia 'Nendeni kwa juasa awape ajira'. Tuanze leo hatuna muda wa majadiliano, tumejadiliana sana. Kama hatuwezi kuwaambia waoandoke basi tusione uchungu wadogo zetu wakitembea na bahasha za khaki kuomba ajira zilizochulkuliwa na wazanzibar.

Jumatatu, tuanze sasa hakuna muda wa kupoteza. Chochote kinachowezekana kifanyike hadi waone ajira za bara ni adhabu. Ukiwa mwajiri jisikie dhambi kumwita mzanzibar katika interview.
Tuanze kampeni sasa kwa kila linalowezekana hadi warudi kwao.

Tusikubali kubagauliwa na kikundi cha watu wachache hawa. Fire them
 
Kichwa cha habari kinavutia ila taaarifa haisomeki kutokana na lugha!
Nitachangia kutokana na kichwa cha habari tu!
Mchango wangu ni kuwa ZANZIBAR ni nchi yenye mamlaka kamili (rais,bunge(BW),mawaziri n.k), wana haki kulinda ajira kwa wazawa (Wazanzibar) tu.
Mkuu unakosea,dhambi hii itakutafuna hata wewe.
 
JUSA JUU JUU......JUU ZAIDI ENDELEENI HIVYOHIVYO HAWA JAMAA WANAJUA WHAT'S NEXT MI NI MZENJI NIKO HAPA MORO MPAKANI MWA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WATU WENGI HAWAIFAHAMU HISTORIA DAR, PWANI, TANGA, LINDI, MTWARA, COMORO NA VISIWA VINGINE HATA SEHEMU YA MOZAMBIQUE NI SEHEMU YETU.
TANGU AWALI MPA KA UKO HIVYO WAJERUMANI WALING'ANG'ANIA ILI KULINDA PWANI WALIYOITUMIA KWA MAMBO YAO (ingawa babu zetu wa Oman walikataa). Halafu watu wanaandika humu ati sisi hatujasoma, ulizeni wazazi wenu! KINACHOWAUMIZA WENGI NI DARA IKIONDOKA NDO ROHO YAO WAKO TAYARI KUTUCHIA MWANZA ILA SIYO DAR ILI WAENDELEE KUTUKANDAMIZA KAZA KAMBA JUSA HADI JUMUIA YAKIMATAIFA ITUPIE JICHO SUALA HILI TURUDI MEZANI HAKI IPATIKANE NDO MAANA KAMBI ZA JESHI VISIWANI ASKARI WOOTE NI WABARA NA MZENJI AMBAYE NI MJESHI YUKO BARA NA WAMEWEKWA 5 KWA 70 HAPO MPO????
Virus detected.
 
Big up Jussa,umeamua kutupulizia matarumbeta masikioni,
Unatuamsha Wa-Tanganyika usingizini.Ole wako tuamke cha moto utakiona na ubaguzi wako.
Dhambi ya ubaguzi itakutafuna.
 
JUSA JUU JUU......JUU ZAIDI ENDELEENI HIVYOHIVYO HAWA JAMAA WANAJUA WHAT'S NEXT MI NI MZENJI NIKO HAPA MORO MPAKANI MWA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WATU WENGI HAWAIFAHAMU HISTORIA DAR, PWANI, TANGA, LINDI, MTWARA, COMORO NA VISIWA VINGINE HATA SEHEMU YA MOZAMBIQUE NI SEHEMU YETU.
TANGU AWALI MPA KA UKO HIVYO WAJERUMANI WALING'ANG'ANIA ILI KULINDA PWANI WALIYOITUMIA KWA MAMBO YAO (ingawa babu zetu wa Oman walikataa). Halafu watu wanaandika humu ati sisi hatujasoma, ulizeni wazazi wenu! KINACHOWAUMIZA WENGI NI DARA IKIONDOKA NDO ROHO YAO WAKO TAYARI KUTUCHIA MWANZA ILA SIYO DAR ILI WAENDELEE KUTUKANDAMIZA KAZA KAMBA JUSA HADI JUMUIA YAKIMATAIFA ITUPIE JICHO SUALA HILI TURUDI MEZANI HAKI IPATIKANE NDO MAANA KAMBI ZA JESHI VISIWANI ASKARI WOOTE NI WABARA NA MZENJI AMBAYE NI MJESHI YUKO BARA NA WAMEWEKWA 5 KWA 70 HAPO MPO????

keep dreaming of the coast
 
Back
Top Bottom