GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 986
- 655
hivi kupendekeza kuvunja muungano ni kosa?
kama si kosa, naamini huu ni wakati muafaka serikali
ya zanzibar ingefanya referundum na kuwauliza wazanzibar
nini wanataka.