samahani kabla huyo hajakujibu, hebu nisaidie na mimi hapa kidogo tu: binafsi natatizwa na hiki kipengele cha nyumba za ibada. hivi kinahusika vipi na mambo ya maendeleo??? kama dini haihusiki na maswala ya maendeleo, hiki kipengele cha nyumba za ibada sio element ya udini kweli??? halafu ni vizuri tuishauri serikali yetu kama haitahesabu watu kwa imani zao mara hii, basi tusije tukasikia tena taasisi yoyote inatoa takwimu kwa ulingano wa imani za kidini za watu kama tulivyoona hivikaribuni tbc, idara ya utalii na ofisi ya waziri mkuuu. jiulize walizitoa wapi wakati hii nchi haina utaratibu huo????
ingawa mnawashangaa waislamu kwenye hili, lakini kiukweli kuna haja ya serilkali na nyie mnaojifanya wajuaji wa kujenga hoja mkafafanua hizo takwimu zilipatikanaje??? msijifanye nyie tu ndo mnaojua kufikiri kuliko kina sheikh Ponda. wao pia wana logic kwenye hili.
Wamunzengo; Inaitwa SENSA YA WATU NA MAKAZI!
Watu wote na makazi ya (read buildings) eg. Nyumba za watu, nyumba za kulala wageni, hotels, makanisa, misikiti, shule, hospitali, zahanati, vyuo, madrassa, maduka, etc etc etc VITAHESABIWA.
Ninajua akina Ponda wana pick Makanisa na Misikiti tu ili kuendelea KUWAZUGA WAISLAMU.