wawakilishi wa TANZANIA NA MALAWI kukutana MZUZU tarehe August 20 2012

Si bora ningechora mimi, hiyo ni mipaka iliyowekwa toka enzi za wakoloni. hatuna ujanja katika hili suala. Tutashindwa na malawi kisheria. Malawi hawataki vita na wala hawana haja na vita, bali sheria itafuata mkondo wake.
Mkuu mbona una haraka? Si uwape basi Malawi ziwa lao ili ukae kimya, sisi wengine tuendelee kujadili!
 
Raisi abariki kikao cha tarehe 20 baada ya kukutana na Raisi wa Malawi
 
Back
Top Bottom