kutofautiana mawazo katika siasa ni changamoto chanya. Mi sioni tatizo hapo
Vipi hali Prof. Mwandosya na Dr Mwakyembe wanaendeleaje Mkuu ?Hiki ndicho wanachama wa CDM wanatakiwa kuwa wanauliza, siyo kila siku kupiga bla bla za maandamano.
Huyu ndio mbunge pekee wa CDM anayeelewa anachokifanya. Mnyika was good too but now naona Jimbo lake linaanza kumshinda.
Mungu mkubwa, He is back!
unaonaje ukilichukua wewe?Hiki ndicho wanachama wa CDM wanatakiwa kuwa wanauliza, siyo kila siku kupiga bla bla za maandamano.
Huyu ndio mbunge pekee wa CDM anayeelewa anachokifanya. Mnyika was good too but now naona Jimbo lake linaanza kumshinda.
Litarudi tu lilipokuwa....unaonaje ukilichukua wewe?