Waungwana Zitto vp?

Status
Not open for further replies.
Anasubiri bunge lipite ndo arudi. Hoja yake kwa mkulo ilikuwa moto, jamaa kampeleka huko akatulie kwanza.
 
Jembe halipo ndio maana wanajadili posho na upuuzi bungeni! Get wel soon bro!
 
KAMANDA ZITO a.k.a jepesi KARIBU TENA BONGO HAPA HARI NI ILEILE spika anatubuluza mjengoni kule arusha tuna kesi kama kumi mbeya ndo usiseme sasa sijui hutahanzia wapi ? Kuwa makini na magamba wasije kukutoa roho maana kwao hiyo ni mila
 
Hiki ndicho wanachama wa CDM wanatakiwa kuwa wanauliza, siyo kila siku kupiga bla bla za maandamano.
Huyu ndio mbunge pekee wa CDM anayeelewa anachokifanya. Mnyika was good too but now naona Jimbo lake linaanza kumshinda.
 
Vipi hali Prof. Mwandosya na Dr Mwakyembe wanaendeleaje Mkuu ?
 
hivi kama mnyika jimbo la ubungo limshinda,na la zitto je?na lini anakaa jimboni kwake huyu zitto wenu?umaarufu wa zitto ulikuwa zamani hadi lema na silinde wanampita!nyie wapambe wa zitto mnaboa kila siku zitto,zitto.si hata muongelee machali na mkosamali nao wanatoka kigoma.
 
Hiki ndicho wanachama wa CDM wanatakiwa kuwa wanauliza, siyo kila siku kupiga bla bla za maandamano.
Huyu ndio mbunge pekee wa CDM anayeelewa anachokifanya. Mnyika was good too but now naona Jimbo lake linaanza kumshinda.
unaonaje ukilichukua wewe?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom