Watumishi wa afya Kenya wagoma leo 10th February

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Baada ya mgomo wa madaktari nchini Tanzania kusitishwa jana leo umehamia nchini Kenya ambapo watumishi wote wa afya wamegoma baada ya serikali kushindwa kuwatekelezea madai ya nyongeza ya mishahara na marupurupu ambayo waliomba wiki kadhaa zilizopita baada ya serikali yao kuwaahidi ingewatekelezea before yesterday. Sasa wamegoma kwa wiki tatu mpaka serikali itekeleze madai yao.
Source: KBC
MY take:
serikali yetu imetuahidi baada ya wiki mbili na sisi tumeamua mpaka kufikia march 3 kama serikali itakuwa kimya tutarudia mgomo ambao utakuwa non stop.
 
kama ni kweli mtaona wenzetu wanavyojitambua raia lzm wawashe moto kwa sirikali sio huku tupo tupo tu ka mazuzu
 
Hawa watani wetu hawana subira.....kitalia kitu muda wowote kuishinikiza serikali kuyafanyia madai ya madaktari haraka iwezekanavyo
 
Back
Top Bottom