Watu, siasa safi na uongozi bora.

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Tulifundishwa na viongozi wetu kuwa ili kupata maendeleo tunahitaji vitu vitatu navo ni 1-watu, 2-siasa safi na 3-uongozi bora. Bahati njema palipo kuwa na uongozi bora tuliona maendeleo. Leo watawala wetu wanatueleza bila wawekezaji (nadhani wa nje) hakuna maendeleo sasa wananchi wenzangu tujiulize hao wawekezaji wanatoka dunia gani? Maana kama dunia hii tujiulize nchi zao zilifanya nini mpaka watawala wetu wawategemee wao? Je kodi yetu inatumika vipi ikiwa hata huduma za jamii ni wawekezaji? Jamani tuwe na mjadala hapa vinginevo tunaumia.
 
Back
Top Bottom