johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alisema Ili nchi iendelee inahitaji WATU, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora
Baadae kidogo mzee Jomo Kenyatta akamwambia Mwalimu anaongoza Mbuzi siyo Watu na Nyerere hakukasirika alicheka tu tena sana
Ukishakuwa na CHAWA badala ya WATU basi hautakuwa na Siasa Safi wala Uongozi Bora
DP World kama Wawekezaji hawana tatizo lolote ndio sababu wako nchi zaidi ya 70 duniani kote
Tatizo liko kwenye nchi wanazoalikwa je Wanakuta nchi hizo zina WATU, Binadamu, Mbuzi au Mizoga tu?!
Nawatakia Sabato Njema!