First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473
Mpaka rangi,
Mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.
mahouse boy wenyewe hawafai.