Watu 8 wafariki ajalini Mbeya

Watu 8 wamefariki na wengine 12 kujeruhiwa kwenye ajali ya Kipanya AMA Hiace iliyotokea katika eneo la IHANDA kilometa 15 kutoka makao makuu ya wilaya Mbozi.
waliofariki ni Dereva na Konda wa basi hilo pamoja na abiria 6 akiwemo Mtoto.
Gari hilo lilikosa mwelekeo na Kisha kuligonga gari jingine aina ya prado lililokuwa upande mwingine wakati yakipishana hatimaye Hiace kupinduka.
majeruhi 8 wa ajali hiyo wapo katika halo mbaya baada ya kukatika miguu
 
Poleni sana wakazi uko .mara moto.mara nondo.ajari ndo kila siku itabidi tufanye maombi maalumu
 
inasadikika watu wanane wamefariki dunia na majeruhi wengine 14.
 
Leseni ya kununua... Taaluma ya udereva hakuna....uvunjaji wa sheria nk ndo vinatukost
 
Back
Top Bottom