Watu wanaona hii ni sawa Kuna siku Wakristo watakuja kuibuka na visheria vyako nakutaka Waislamu wafuate hapo ndipo mtagundua hili jambo ni udini.

Zanzibar siyo Nchi ya kiislamu na huyu ujinga uachwe mara moja kwa dini zote mbili. Pia unakosea kusema uislamu hauwezi ku co exist na dini nyingi wakati tunaishi nayo huku bara bila huu ujinga.
 
Kwani ukimletea mtu mapendekezo/maoni yako, si ana haki ya kuyakubali au kuyapuuza?
Hicho ndicho kilichotokea sasa kwa Kanisa la Afrika na watu wake.
Mi nafikiri hao huko znz kama wamekamatwa kuna vifungu vya sheria au kanuni vimevunjwa/kiukwa, sasa watu wakomae vifungu vifutwe na si kuvivunja ukitegemea utaachwa kisa vifungu ni kandamizi
 
Kuna nchi ya ulaya walikatazwa wasivae hijabu waislam dunian walipiga kelele hatari
Ila hii ya Zanzibar kukamata watu wanakula hadharani wao ni sawa basi na wenyewe wawe wanakubali na sheria za sehemu nyingine sio wanaanza kutia huruma
 
Sasa kama mtu imani yake inamruhusu kula anakamatwa kwa kosa gani?
Je, jeshi la polisi Zanzibar ni tofauti na polisi wa bara?
Je, serikali ya awamu hii Ina dini?
Matukio ya watu kukamatwa huko Zanzibar kwa kula hadharani mchana wa mwezi wa Ramadhani upo kwa miaka mingi haujaanza awamu hii.
 
Kwa haya yanayo endelea hilo li nchi ni dola la Kiislam au ?
20240328_191530.jpg
 
Back
Top Bottom