mnengene
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 4,139
- 6,347
Halipwi kitu huyo mtoto anagharamiwa usafiri tu .Shukrani Mkuu, kuna watu wanatoa majibu ya hovyo hovyo tu hapa, utadhani hawalipi kodi yeyote ile. Huyo mtoto anajitolea tu? Ama kuna gharama analipwa?
Mchakato wa kumpitisha ukoje? Maana nina uhakika kuna watoto LUKUKI wenye vipaji mbalimbali hapa nchini.
Mchakato wa kumpata ni classified information lakini lazima mzazi awe anajulikana Sana na watu wa eagle house