Watoto wa viongozi bungeni: Makamba, Msuya, Kawawa(2), Sokoine, Mwinyi...

Mageuzi

Member
May 29, 2009
40
9
watoto wa viongozi bungeni,Makamba,Msuya,Kawawa(2),sokoine,mwinyi,ktk michuziblogg wameweka picha ya vita kawawa na dada yake wote wabunge ,wakiwa ktk viwanja vya bunge.
 
So what ????!!!!! crap
sio crap swala ujiulize kuingia kwao kuko merited? na kwa manufaa ya nani? CCM au Wananchi maana naskia Vita Kawawa alifanya mama Sijaona kupelekwa Ubalozi Japan kisa asipate upinzani wenye akili jimboni! na huyo dada yake hata sijui kaingilia kupitia mlango upi maana madaraka ni kupeana sasa hivi? Huyo Mwinyi sioni anachofanya kama Waziri huyo wa Sokoine na Msuya nao hata sijui wana upeo gani katika madaraka waliyopewa! Makamba ndo huyo tunaona anajigamba lakini anajulikana yuko upande gani
 
unategemea mabadiliko gani kutoka kwa wabunge kama hawa,watazidi kumaintain status Quo za baba zao,like father like son,mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
Kama amelelewa mazingira ya kufaidika na Broken System walizotengeza na kupitishwa bungeni na baba zao. so hawa watoto zao watazidi kuundeleza mfumo huo huo
Wabunge walikuwa wanapewa millioni 40 Plus,so now wamefikisha 90 million kununua gari moja kutembelea jimboni,mbona wakati wa kampeni waliweza kutembelea jimbo mtaa kwa mtaa ,iweje now watake gari la thamani ya 90millions au walikuwa wanapaa na uongo(inatia hasira sana ukitafakari) .
I have very low expectation of Wabunge of such background.

a good Example ni George bush Jr,amechukua uraisi wa America, ameendeleza vita ya baba yake ya iraq ya 1990's amesababisha gharama kubwa usa financially and morally us soldiers wamekuwa vilema un necessary ,pasport control dunia nzima kwa kigezo cha war on terrorism.so wamerekani wasingempa bush jr uraisi hii tabu ktk airport zetu isingekuwepo.

kurudi ktk mada. Watoto wa hawa wabunge viongozi wastaafu,hawataleta mabadiliko ya kupinga maamuzi ya wazazi wao ikiwa na pamoja kutengua sheria zinatuumiza wazalendo.
 
nampenda lowasa kwa kuwa mtu wa vision,yeye amemuwezesha mwanae kutoingia ktk politics za nchi hii.he will build the empire ambayo baba ameweka msingi madhubuti kuliko kurithisha watoto siasa kama akina Mubarak wa Egypt, and syria
 
Hivi mbona watoto wa viongozi wa upinzani hujawataja? Tena wao hawasubiri baba zao kuondoka bungeni wapo pamoja humo humo. Acha wivu...!!
We unadhani kwa kuwa baba zao wamekuwa viongozi basi wao hawana haki ya kugombea?

watoto wa viongozi bungeni,makamba,msuya,kawawa(2),sokoine,mwinyi,ktk michuziblogg wameweka picha ya vita kawawa na dada yake wote wabunge ,wakiwa ktk viwanja vya bunge.
 
Ukiwa na watu wenye uwezo wa kiuchumi uliopatikana kwa njia isiyo halali hata kuisadia jamii inakua ni swala gumu sana tumejionea hapa kwetu maskini na wasio jiweza wanavyoteseka, na tabia hiyo ya ubinafsi na umimi huwarithisha hata watoto wao kuwanunulia mitihani a mambo kama hayo SINA UHAKIKA SANA VIONGOZI WABOVU NA MAFISADI WANA WARITHISHA KITU GANI WATOTO WAO!!
 
nampenda lowasa kwa kuwa mtu wa vision,yeye amemuwezesha mwanae kutoingia ktk politics za nchi hii.he will build the empire ambayo baba ameweka msingi madhubuti kuliko kurithisha watoto siasa kama akina Mubarak wa Egypt, and syria

Mercenary!! Umetumwa wewe!!
 
Hivi mbona watoto wa viongozi wa upinzani hujawataja? Tena wao hawasubiri baba zao kuondoka bungeni wapo pamoja humo humo. Acha wivu...!!
We unadhani kwa kuwa baba zao wamekuwa viongozi basi wao hawana haki ya kugombea?

Naomba ututajie watoto hao wa viongozi wa upinzani tuwajue pia tusiongee nadharia.
 
nampenda lowasa kwa kuwa mtu wa vision,yeye amemuwezesha mwanae kutoingia ktk politics za nchi hii.he will build the empire ambayo baba ameweka msingi madhubuti kuliko kurithisha watoto siasa kama akina Mubarak wa Egypt, and syria
Umetumwa hujui usemacho
 
New mzalendo, nina wasiwasi na uzalendo wako, nafikiri ni ule ule uzalendo wa akina lowasa wa kuiibia nchi hii masikini
 
Wote hawa wamepita kwa merits zao, Makamba though kapita bila kupingwa lakini anaonekana ni mzuri tunategemea mema toka kwake. Vita ni mzuri, tumeona vita vyake bungeni.
 
Wanahisi wamerithi gene za utawala. Pia CCMizi wanaogopa wakienda upinzani siri zitawikileak
 
Wote hawa wamepita kwa merits zao, Makamba though kapita bila kupingwa lakini anaonekana ni mzuri tunategemea mema toka kwake. Vita ni mzuri, tumeona vita vyake bungeni.

Si kweli kwamba wamepita bila kupingwa,waliingia gharama kubwa kuwanunua wapinzani.
 
watoto wa viongozi bungeni,Makamba,Msuya,Kawawa(2),sokoine,mwinyi,ktk michuziblogg wameweka picha ya vita kawawa na dada yake wote wabunge ,wakiwa ktk viwanja vya bunge.

Sio hapo kama ni upupu huu.Ata CDM kuna Binti Ndesamburo(Lucy Owenya),dada Lissu n.k.Sidhani kama kuna kosa mbaya ni kupachikana kinyemela.Marekani Ukoo wa John Kenedy wote ni siasa.Bush,baba na mtoto wamekuwa marais na wastaafu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom