Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,599
- 368
Baada ya siku chache watakuja na tamko kuwa sikusema hivo bali waandishi wa habari walininukuu vibaya.
Safi sana,
Yale mambo ya zamani mtoto wa mkubwa kupewa kazi na tenda hakuna tena, ukifanya hivyo wewe ulietoa ajira na muajiriwa wote mnafukuzwa kazi, safi sana serikali naomba muwapekue na wengine wengi
SERIKALI imewafukuza kazi watoto wa vigogo waliopata ajira bila ya kufuata taratibu za kisheria katika mizani inayosimamiwa na Wakala wa Ujenzi wa Barabara(Tanroads).
Hata hiyo imekuja siku chache baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kudai kuwa, kuna baadhi ya watoto wa vigogo wamepata ajira kinyume na taratibu.
Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali kuu (PAC), Mkurugenzi Mkuu wa Tanroads, Mhandisi Patrick Mfugale alisema watoto hao waliajiriwa kimakosa.
Alisema watoto hao wametambuliwa na kwamba baadhi yao tayari wamechukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kazi huku wengine vyeti vyao vikiendelea kukaguliwa.
Kuna baadhi ya wafanyakazi walikuwa wamepata ajira kinyume na taratibu, hii inatokana na kupata ajira kwa kujuana lakini suala hili tayari tumelifanyia kazi na baadhi yao tumewafukuza, alisema Mhandisi Mfugale.
Alisema kutokana na hali hiyo, wataendelea kuhakiki vyeti vya wafanyakazi wote na kuhakikisha kuwa, wanatangaza ajira upya ili wenye vigezo waweze kupitishwa na wasiokuwa navyo waondolewe.
Alisema mkakati uliopo ni kuhakikisha kuwa, ajira zinazotolewa katika idara hiyo ni za muda mfupi, ili kuondoa mianya ya ajira za kujuana.
Aliwataka mameneja wote wa mikoa kufuata taratibu za kisheria katika kutoa ajira kwa wafanyakazi wapya.
teheeeeTunaomba majina yao (bila kusahau ubin)
pamoja na picha ikiwezekana
Ukiamini hili utaamini chochote utakachoambiwa. Walikuwa wapi wakati hao watoto wa vigogo wasio na sifa wakiajiriwa hadi leo wawafukuze?
SERIKALI imewafukuza kazi watoto wa vigogo waliopata ajira bila ya kufuata taratibu za kisheria katika mizani inayosimamiwa na Wakala wa Ujenzi wa Barabara(Tanroads).
Hata hiyo imekuja siku chache baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kudai kuwa, kuna baadhi ya watoto wa vigogo wamepata ajira kinyume na taratibu.
Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali kuu (PAC), Mkurugenzi Mkuu wa Tanroads, Mhandisi Patrick Mfugale alisema watoto hao waliajiriwa kimakosa.
Alisema watoto hao wametambuliwa na kwamba baadhi yao tayari wamechukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kazi huku wengine vyeti vyao vikiendelea kukaguliwa.
Kuna baadhi ya wafanyakazi walikuwa wamepata ajira kinyume na taratibu, hii inatokana na kupata ajira kwa kujuana lakini suala hili tayari tumelifanyia kazi na baadhi yao tumewafukuza, alisema Mhandisi Mfugale.
Alisema kutokana na hali hiyo, wataendelea kuhakiki vyeti vya wafanyakazi wote na kuhakikisha kuwa, wanatangaza ajira upya ili wenye vigezo waweze kupitishwa na wasiokuwa navyo waondolewe.
Alisema mkakati uliopo ni kuhakikisha kuwa, ajira zinazotolewa katika idara hiyo ni za muda mfupi, ili kuondoa mianya ya ajira za kujuana.
Aliwataka mameneja wote wa mikoa kufuata taratibu za kisheria katika kutoa ajira kwa wafanyakazi wapya.
Mkuu Mwita Maranya,mzima weye?unakumbuka ahadi ya kutoa taarifa ya fukuzwa watoto wa walalahoi TANROADS instead ya watoto wa vigogo?twakusubiri mkuu.
SERIKALI imewafukuza kazi watoto wa vigogo waliopata ajira bila ya kufuata taratibu za kisheria katika mizani inayosimamiwa na Wakala wa Ujenzi wa Barabara(Tanroads).
Hata hiyo imekuja siku chache baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kudai kuwa, kuna baadhi ya watoto wa vigogo wamepata ajira kinyume na taratibu.
Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali kuu (PAC), Mkurugenzi Mkuu wa Tanroads, Mhandisi Patrick Mfugale alisema watoto hao waliajiriwa kimakosa.
Alisema watoto hao wametambuliwa na kwamba baadhi yao tayari wamechukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufukuzwa kazi huku wengine vyeti vyao vikiendelea kukaguliwa.
Kuna baadhi ya wafanyakazi walikuwa wamepata ajira kinyume na taratibu, hii inatokana na kupata ajira kwa kujuana lakini suala hili tayari tumelifanyia kazi na baadhi yao tumewafukuza, alisema Mhandisi Mfugale.
Alisema kutokana na hali hiyo, wataendelea kuhakiki vyeti vya wafanyakazi wote na kuhakikisha kuwa, wanatangaza ajira upya ili wenye vigezo waweze kupitishwa na wasiokuwa navyo waondolewe.
Alisema mkakati uliopo ni kuhakikisha kuwa, ajira zinazotolewa katika idara hiyo ni za muda mfupi, ili kuondoa mianya ya ajira za kujuana.
Aliwataka mameneja wote wa mikoa kufuata taratibu za kisheria katika kutoa ajira kwa wafanyakazi wapya.
Na pale wizara ya mambo ya nje mbona hawawagusi walogushi? Make hapo kuna uozo mwingi, na ajbu idara nyeti ka ile. Watu wanapangiwa kusafiri na wakubwa halafu wakiambiwa waandike report hawawezi, wanaanza kuhonga kuandikiwa report. Kuna mtu alipigwa dana dana pale kila idara anayowekwa bosi anamkataa vile hawezi kazi. Lakini pamoja na dana dana bado yuko hapo, ma-bosi wanaogopa ku-report vile kibarua chao kitaota majani, kisa kawekwa na mkubwa/kigogoCha kushangaza,wenye vyeti na elimu iliyobobea wanaambiwa "over qualified" halafu mnachukua watu wa barabarani then mnalalamika ooh wamegushi,so what do u want?????