Tabora: TANROADS wafyeka mahindi yaliyolimwa kwenye hifadhi ya barabara

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,115
1706663634744.jpeg

Wakala wa Barabara nchini ( TANROADS) mkoa wa Tabora imeanza zoezi la kuondosha kwa kufyeka mazao yote ambayo yamelimwa na wakulima katika hifadhi za barabara.

Zoezi hilo utekelezaji wake umeanza katika maeneo ya wilaya ya Nzega na Igunga mkoani humo ambapo umefanyika ufyekaji wa mazao ikiwemo mahindi.

Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora Mhandisi Raphael Mlimaji, amesema hatua hiyo imefuata baada ya elimu kutolewa mara kadhaa juu ya wananchi kutotakiwa kufanya shughuli za kibinadamu ikiwemo kilimo katika maeneo ya hifadhi za barabara huku wengi wao wakionekana kukaidi.
 
Ukiwalea watu Huwa hawaachi.

-

My Take
Taasisi zingine ziige mfano wa TanRoads Tabora 😁😁
 
Watu hawajui TU!! Kulima Ardhi kando kando ya barabara husabanisha mmomonyoko sawa na kulima kando ya mito, utashangaa atakuja mwanasiasa asiyejali Kodi zetu na kuongea kinyume, kama mkuu WA mkoa DSM ameruhusu biashara juu ya mitaro ambapo manailoni wanayotupa mle yanazuia makalavati na kusababisha mafuriko!! Nani WA kumfunga kengele
 
Wakala wa Barabara nchini ( TANROADS) mkoa wa Tabora imeanza zoezi la kuondosha kwa kufyeka mazao yote ambayo yamelimwa na wakulima katika hifadhi za barabara.

Zoezi hilo utekelezaji wake umeanza katika maeneo ya wilaya ya Nzega na Igunga mkoani humo ambapo umefanyika ufyekaji wa mazao ikiwemo mahindi.

Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora Mhandisi Raphael Mlimaji, amesema hatua hiyo imefuata baada ya elimu kutolewa mara kadhaa juu ya wananchi kutotakiwa kufanya shughuli za kibinadamu ikiwemo kilimo katika maeneo ya hifadhi za barabara huku wengi wao wakionekana kukaidi.
Kawasemeleeni kwa Bashite
 
Kama wamefanya hivyo wafukuzwe kazi, wamekosa busara kabisaaa
 
Back
Top Bottom