Watoto wa kibongo musijaribu hii jamani...........

wanafunzi%20ipp.jpg

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kawawa wakitembea kwa miguu wakati wakirudi kutoka ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ilala Boma jijini Dar es Salaam jana baada ya kuandamana kudai haki yao ya kupata elimu kufuatia mgomo wa walimu ulioanza kote nchini juzi.
Hakuna wazazi wanaowaunga mkono hawa watoto?
Tanzania vituko tupu!
Wazee wameridhika na maisha bora kwa kila mtanzania.!!!
 
561665_420351458010686_1800236077_n.jpg

Hii kali Mtoto wa mkuu Boflo anamchezea Simba sharubu ... kasheshe kweli...............Iga ufe..............

Watoto wa bongo wakiona leo wanaiga kesho, ila hii kwa sasa ni ngumu maana hao wanyama wetu siku hizi ni kutoroshwa hai huenda hata huyo kabebwa toka huku na dege la jeshi la Qatar!
 
Watoto wa bongo wakiona leo wanaiga kesho, ila hii kwa sasa ni ngumu maana hao wanyama wetu siku hizi ni kutoroshwa hai huenda hata huyo kabebwa toka huku na dege la jeshi la Qatar!
Kumbe Wanyama wetu wanatoroshwa na ndege ya kijeshi ya Qatar ahhh kasheshe kweli hii Serikali ya awamu ya 4 nchi hii imeuzwa kwa waarabu? Mkuu Kaitampunu
 
hao ndio wachina bana .. kila kitu kwao msosi .. itakuwa sikukuu dogo anafurahia kitoweo hapo
 
hao ndio wachina bana .. kila kitu kwao msosi .. itakuwa sikukuu dogo anafurahia kitoweo hapo
Ni kweli hapo ni china na huyo mtoto anafurahia kitoweo hawa wenzetu watu wa Bara la Asia hawachaguwi kitu kwao wao kila kitu ni chakula hata panya,mende,chura,mijusi,nge,wadudu wa aina yoyote ile unayoijuwa wewe huko Bara la Asia analiwa ahh mimi nimechoshwa na watu wa huko Bara la Asia hata wewe ukiwakalia vibaya wataweza kukuwa na kula nyama yako vipi mkuu Ramadhani imepanda?Mkuu njiwa?
 
Tahadhari, mkuu ukirudi huku naomba husirudi na hasira maana utagombana na wengi kwa hali ilivyo sasa.
Mkuu nitarudi wkati hali itakapokuwa ni nzuriş siwezi kurudi eti bado umeme ni wa mgao maji pia ni ya mgao bora hata nisurudi kabisa sijazoea kulala giza unajuwa ukilala giza na huku mbuu wanakutafuna na hujuwi kuna kitu gani panya au nyoka au nge? mimi siwezi kulala huku nina wasiwasi nikirudi huko kwa sasa naweza kupata uchizi ninasikia hali ni ngumu zaidi kila kukicha?Mkuu hebu nipe Detail za huko?Mkuu Kaitampunu
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli hapo ni china na huyo mtoto anafurahia kitoweo hawa wenzetu watu wa Bara la Asia hawachaguwi kitu kwao wao kila kitu ni chakula hata panya,mende,chura,mijusi,nge,wadudu wa aina yoyote ile unayoijuwa wewe huko Bara la Asia analiwa ahh mimi nimechoshwa na watu wa huko Bara la Asia hata wewe ukiwakalia vibaya wataweza kukuwa na kula nyama yako vipi mkuu Ramadhani imepanda?Mkuu njiwa?

al7amdulilah shahr ramadan imenikuta nikiwa hai ni zawadi toka kwa mola lazima nifunge bro... best opportunity never comes twice ..
 
Back
Top Bottom