Watia nia ya ubunge ambao ni pro-lowassa andaeni shingo!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Hili liko wazi kuwa wale watia nia za ubunge ambao walihadiwa vyeo na mamvi sasa wajiandae kwani ni wazi watachinjiwa baharini.
 
Uyasemayo yana ukweli fulani ndani yake...
Unamkumbuka yule mama Balozi Amina alivokoswa umakamu baada ya kushindwa kuzuia mahaba yake kwa Lowassa..?
 
kama aliweza kumchinja boss wao lowassa haito kuwa shida kuwachinja vijakazi wake pia tena mmemvunjia heshima kwa vijimbo vyenu wakati anaingia ukumbini sasa yeye ndo mwenyekiti mpaka rais mpya apatikane na ukitaka kujua jamaa mafia hata top 5 kulikuwa akuna mtu wa lowasa
 
Hii ndio dawa ya kuzima uasi dhidi ya mwenyekiti.yaani huu mtandao wa 1995 ufutike rasmi.
 
Uyasemayo yana ukweli fulani ndani yake...
Unamkumbumba yule mama Balozi Amina alivokoswa umakamu baada ya kushindwa kuzuia mahaba yake kwa Lowassa..??
Serukamba yeye alikabidhi jimbo mapema kabisa, ngoja tuone kama aliowakabidhi watafurukuta baada ya pesa ya lowasa kukauka.
 
kama aliweza kumchinja boss wao lowassa haito kuwa shida kuwachinja vijakazi wake pia tena mmemvunjia heshima kwa vijimbo vyenu wakati anaingia ukumbini sasa yeye ndo mwenyekiti mpaka rais mpya apatikane na ukitaka kujua jamaa mafia hata top 5 kulikuwa akuna mtu wa lowasa

Amina je?! we huoni hajapewa ugombea mwenza!
 
Hili liko wazi kuwa wale watia nia za ubunge ambao walihadiwa vyeo na mamvi sasa wajiandae kwani ni wazi watachinjiwa baharini.

Tena Mcha kweupe.
Kushughulikiana ndiyo kwanza kumeaanza zoezi hili mpaka kwenye udiwani.
Wajanja wanafaa waanze kuelekeza nguvu zao kwingine au waachane na kugombea ila wawee wapambe tu wa kutafuna pesa kurudisha za bwana Mkubwa.
 
Back
Top Bottom