Wateule wa Rais Magufuli tuondoleeni aibu hii

Are you a leader? If not, just say we were.
Kukuongezea tu.
By the way Are you among a few leaders RESPONSIBLE for such unbecoming behaviors in our society?
If so kindly please CHANGE for the better.. For someone to be called a leader has to be PATIENT and some sense of decorum in all his undertakings!!!!
 
Huwezi jua huenda ni laana ya kukataa Bunge Live na sasa wanafanya vituko mubashara. Tutaona mengi zaidi ya kwenye luninga.
 
Huwezi jua huenda ni laana ya kukataa Bunge Live na sasa wanafanya vituko mubashara. Tutaona mengi zaidi ya kwenye luninga.
Rais amesema akiwamkoani Mara KUWASEMA ama KURIP[OTI viongozi kama hao.Ni wajibu wetu kama wananchi. Si kuonewa na kunyamaza.
 
CHIZI ni msemo tu wa KISIASA ili kuongeza chUmvi ya kufurahisha watu.
Hakuwa na maana kama hiyo uliyoitaja.
Siasa pia ni lazima UCHEKESHE watu. usiwe boring.Nafikiri umenipata mkuu.
Hii tafsiri ni ya kwako wewe.Je uliingia kichwani mwake ukaona kuwa alimaanisha kuchekesha hadhira?
 
Hii tafsiri ni ya kwako wewe.Je uliingia kichwani mwake ukaona kuwa alimaanisha kuchekesha hadhira?
Mkuu nami nakuuliza tu. Je wewe uliamini kuwa ni kweli alisema hayo akimaanisha jinsi unavyofikiri?
Pili ili Watanzania wamweleweje?
 
Mkuu nami nakuuliza tu. Je wewe uliamini kuwa ni kweli alisema hayo akimaanisha jinsi unavyofikiri?
Pili ili Watanzania wamweleweje?
Kimtokacho mtu,ndicho kiujazao moyo wake.Watanzania wamwelewe kuwa ni chizi kama alivyotamka mwenyewe.
 
Back
Top Bottom