Wateule wa Rais Magufuli tuondoleeni aibu hii

Ninapoandika uzi huu sisemi kwamba ni WATEULE wote wa rais wana tabia hii ambayo nitaielelza hapa chini. Ila ni BAADHI yao hawajui kabisa ETHICS za KIUTUMISHI.Na wanafanya kama vile mwalimu na mwanafunziwa shule ya msingi.

Kumekuwa sasa ni kama kawaida MTEULE na MTEULE wakijibizana ama KUFOKEANA mbele ya vyombo vya habari. Hili HALIKUBALIKI kabisa na ni kuvunja MAADILI ya kiutumishi.

Juzi juzi mwingine KAMZABA makofi mtumishi mwenzake.
Mwingine naye kamjibu mteule mwenzake kupitia vyombo vya habari kwamba HAKUBALIANI naye.

DC mwingine naye kamfokea Mkurugenzi,.Sasa tunaenda wapi??
This is unacceptable in a modern society more so kwa watumishi SERIKALI waliopewa DHAMANA ya kuwatumikia wananchi.
Na zaidi ya hayo yote WOTE WANAITUMIKIA
serikali moja na Rais mmoja aliyewateua hivyo ni kusemea. "WOTE ni WATEULIWA" Regardlelss of the pecking order.

Kama kuna KOSA limetokea basi MECHANISMS ZA KIUTAWALA zitumike ndani ya PAZIA pasipo sisi raia kujua chochote kinachoendelea..
KUTATUA kwa KUMFOKEA ama KUMLAUMU mtumishi mwenzako HADHARANI mbele ya WANANCHI hilo si nzuri na Iinatutia AIBU kama Watanzania na serikali kwa ujumla
Tafadhali tuondoleeni AIBU hii!!!.

Sisi kama raia basi tunabaki tukinashangaa. Kwani neno collective responsibility liko wapi AMA KUNA MGAWANYIKO?

Umeandika vizuri sana...Ni aibu kwa 'mteule' kutozingatia miiko ya uongozi...niliona clip moja ambapo DC mmoja kijana aliyeteuliwa hivi karibuni akimfokea DED...dah..ni aibu kubwa kwa kiongozi wa aina hii...wateule hawa wanapaswa kupewa semina elekezi..ni zero kabisa kwenye 'ethics' na 'tamaduni' za uongozi...hovyo kabisa...
 
Nakubaliana nawe 100%
Hata kama hawakupata LABDA semina elekezi, basi si ile common sense ifanye kazi kichwani jamani?
Wakati mwingine inashangaza sana.
Nafikiri wakianza kuchukuliwa hatua za kinidhamu huenda.WAKAJIREKEBISHA!!
 
Ninapoandika uzi huu sisemi kwamba ni WATEULE wote wa rais wana tabia hii ambayo nitaielelza hapa chini. Ila ni BAADHI yao hawajui kabisa ETHICS za KIUTUMISHI.Na wanafanya kama vile mwalimu na mwanafunziwa shule ya msingi.

Kumekuwa sasa ni kama kawaida MTEULE na MTEULE wakijibizana ama KUFOKEANA mbele ya vyombo vya habari. Hili HALIKUBALIKI kabisa na ni kuvunja MAADILI ya kiutumishi.

Juzi juzi mwingine KAMZABA makofi mtumishi mwenzake.
Mwingine naye kamjibu mteule mwenzake kupitia vyombo vya habari kwamba HAKUBALIANI naye.

DC mwingine Arumeru naye kamfokea DED, tena mbele ya RC.Na badala RCkumchuliahuyo DC hatua za kinidhamu yeye anabaki akishangaa na kutabasamu!!
Sasa jamani mchezokama huu ukiruhusiwa uendelee tunaelekea wapi??

This is unacceptable in a modern society more so kwa watumishi SERIKALI waliopewa DHAMANA ya kuwatumikia wananchi.
Na zaidi ya hayo yote WOTE WANAITUMIKIA
serikali moja na Rais mmoja aliyewateua hivyo ni kusemea. "WOTE ni WATEULIWA" Regardlelss of the pecking order.

Kama kuna KOSA limetokea basi MECHANISMS ZA KIUTAWALA zitumike ndani ya PAZIA pasipo sisi raia kujua chochote kinachoendelea..
KUTATUA kwa KUMFOKEA ama KUMLAUMU mtumishi mwenzako HADHARANI mbele ya WANANCHI hilo si nzuri na Iinatutia AIBU kama Watanzania na serikali kwa ujumla
Tafadhali tuondoleeni AIBU hii!!!.

Sisi kama raia basi tunabaki tukinashangaa. Kwani neno collective responsibility liko wapi AMA KUNA MGAWANYIKO?
We were a modern society but not now, you say gun, I say gun, you say let's forget it, I say no let's finish it first. Siku hizi tunaishi maisha ya makauboi wa marekani miaka ilee, ubabe ubabe tu, kila kiongozi ni mbabe lugha ya staha kwishney.
 
I'll kiukwel hi awam haitasahulika kwa vituko aisee, Hadi mkuu wa nchi ajiita kichaa unazani wasaidizi wake watakua kina Nani Sasa Kama c vichaa pia
 
Naunga mkono hoja yako ila pia naomba nikurekebishe kama syo kukuuliza,

Umesema wanafanya kazi kama mwl na MWANAFUNZ wa primary hapa unamanisha nini???? Huoni pia umekosa maadili hapa????

Unamansha walimu wa primary hawana maadili???

Mfano wako huo unamanisha walimu hawa wa primary akili zao zinafanana na watoto????

Hapo kwenye hyo paragraph naomba uwaombe msamaha kama kweli ulichokiandika kimekuuzi lasivyo utakuwa umekosea Sana

Pia waheshimu hawa walimu wa primary ambao ww unawaona kama syo wakat ndo waliokufanya hadi uandike haya!!!

What goes around comes around!!! Hata ww kwa mstari huo ukipata uongozi utafanya hvyo hvyo maana yawezekana ukawa mbaguzi kwa baadhi ya watu wa kuwaheshim!!!!

Ila hoja yako nmeiunga mkono ila hapo umeniuuuuuuuzi
 
Katika hilo la kujiita kichaa, naamini hakuwa na m,aana HASA ya KICHAA, bali alikuwa na maana kuwa yeye anafanya kazi yake pasipo hofu wala kuogopa"
 
We were a modern society but not now, you say gun, I say gun, you say let's forget it, I say no let's finish it first. Siku hizi tunaishi maisha ya makauboi wa marekani miaka ilee, ubabe ubabe tu, kila kiongozi ni mbabe lugha ya staha kwishney.
Eti ukaiboi Kaiboi Hahahaaaaa! Aisee!
 
Naunga mkono hoja yako ila pia naomba nikurekebishe kama syo kukuuliza,

Umesema wanafanya kazi kama mwl na MWANAFUNZ wa primary hapa unamanisha nini???? Huoni pia umekosa maadili hapa????

Unamansha walimu wa primary hawana maadili???

Mfano wako huo unamanisha walimu hawa wa primary akili zao zinafanana na watoto????

Hapo kwenye hyo paragraph naomba uwaombe msamaha kama kweli ulichokiandika kimekuuzi lasivyo utakuwa umekosea Sana

Pia waheshimu hawa walimu wa primary ambao ww unawaona kama syo wakat ndo waliokufanya hadi uandike haya!!!

What goes around comes around!!! Hata ww kwa mstari huo ukipata uongozi utafanya hvyo hvyo maana yawezekana ukawa mbaguzi kwa baadhi ya watu wa kuwaheshim!!!!

Ila hoja yako nmeiunga mkono ila hapo umeniuuuuuuuzi
My apology. Milikuwa nina maana ya kusema kuwa. Mwalimu wa shule ya msingi HUMTAYARISHA mwanafunzi katika maisha yake ya USONI.
wengi wa wanafunzi ha ni under 18 hivyo wanahitajika KUSAIDIWA sana kwa kila juhudi.
KUWAKEMEMA ama KUWAKARIPIA ni jambo la kawaida ili kurudisha nidhamu
.
NAWAHESHIMU walimu wangu WALIONIKEMEMA na KUNIREKEKBISHA na wakati mwingine kunipa KICHAPO na mpaka nikafikia mahali nilipo sasa. Please accept my apology.
. It wasn't my intention to hurt or demean teachers in Primary schools. nita edit mkuu.Shukrani.
 
We were a modern society but not now, you say gun, I say gun, you say let's forget it, I say no let's finish it first. Siku hizi tunaishi maisha ya makauboi wa marekani miaka ilee, ubabe ubabe tu, kila kiongozi ni mbabe lugha ya staha kwishney.
Just to add. We still are. EXCEPT for a few rotten apples
 
Mwenye ile clip ya jerry muro akimchapa mkwara ded mbele ya rc aiweke hapa.
 
Ninapoandika uzi huu sisemi kwamba ni WATEULE wote wa rais wana tabia hii ambayo nitaielelza hapa chini. Ila ni BAADHI yao hawajui kabisa ETHICS za KIUTUMISHI.Na wanafanya kama vile mwalimu na mwanafunzi wa shule ya msingi.

.Sina maana ya kudharau Walimu wa Msingi bali ni mfano tu kuwa wanafunzi hao huwa wangali ni wadogo chini ya miaka 18 na wakati mwingine hukemewa na walaim iili baadaye maishani wawe watu responsible.

Kumekuwa sasa ni kama kawaida MTEULE na MTEULE wakijibizana ama KUFOKEANA mbele ya vyombo vya habari. Hili HALIKUBALIKI kabisa na ni kuvunja MAADILI ya kiutumishi.

Juzi juzi mwingine KAMZABA makofi mtumishi mwenzake.
Mwingine naye kamjibu mteule mwenzake kupitia vyombo vya habari kwamba HAKUBALIANI naye.

DC mwingine Arumeru naye kamfokea DED, tena mbele ya RC.Na badala RCkumchuliahuyo DC hatua za kinidhamu yeye anabaki akishangaa na kutabasamu!!
Sasa jamani mchezokama huu ukiruhusiwa uendelee tunaelekea wapi??

This is unacceptable in a modern society more so kwa watumishi SERIKALI waliopewa DHAMANA ya kuwatumikia wananchi.
Na zaidi ya hayo yote WOTE WANAITUMIKIA
serikali moja na Rais mmoja aliyewateua hivyo ni kusemea. "WOTE ni WATEULIWA" Regardlelss of the pecking order.

Kama kuna KOSA limetokea basi MECHANISMS ZA KIUTAWALA zitumike ndani ya PAZIA pasipo sisi raia kujua chochote kinachoendelea..
KUTATUA kwa KUMFOKEA ama KUMLAUMU mtumishi mwenzako HADHARANI mbele ya WANANCHI hilo si nzuri na Iinatutia AIBU kama Watanzania na serikali kwa ujumla
Tafadhali tuondoleeni AIBU hii!!!.

Sisi kama raia basi tunabaki tukinashangaa. Kwani neno collective responsibility liko wapi AMA KUNA MGAWANYIKO?
Hao ambao huwataki ndio wanaopandishwa vyeo na mkuu , na usipoangalia utashughulikiwa .
 
Are you a leader? If not, just say we were.
Being are leader does not necessarily LEADING an ORGANISATION , Government entity etc..
However every Mwananchi is a leader in his or /her own right. Got it?
Are you irked by what I have posted?
 
Back
Top Bottom