mi nimehama rasmi jana,nishavuta line yangu ya zantel nakula net,acha wabaki na internet yao,soko huria bana!nawasihi na nyie muhame ili wapate somo
Vodacom ni noma, 10000 unapata MB 250 za kutumia mwezi mzima but kwangu huwa zinaisha siku nne hadi nikahisi mita yao ya kosoma bites ina makosa kwenye spidi... mambo yote Vodacom. Consistency matters.
bye bye airtell....jamani package za tigo na zantell zikoje????
Basi nauli imepanda baada ya kuona abiria tumejaa sasa tumeamua kurudi kwenye bajaji na bito!
Karibu Zantel Kamanda wangu!
Utaenjoy utakavyo kwa furaha yako!
nasubiria MB zangu ziishe, nakirudia kibajaji changu hata hivyo nimekimisi siku nyingi saaana.
Airtel vs Vodacom, SBL Vs TBL haa dar kuna mashindano! i like that, nani mbabe zaidi?Airtel kampuni inaheshimika ila kwa siku mbili wameanza kuzingua internet.
kwanza huduma ya 2500 ya net wamefunga hii imepelekea wateja elfu tano kuhama kwa siku je wiki
pili siku nzima internet yenunazingua hebu fanyani mambo
onyoo mkishindwa kutupa huduma nzuri tutahama na tutaenda TCRA
Karibu Zantel Kamanda wangu!
Utaenjoy utakavyo kwa furaha yako!
same story, different versions and all are true...Karibu Zantel Kamanda wangu!
Utaenjoy utakavyo kwa furaha yako!
mi nimehama rasmi jana,nishavuta line yangu ya zantel nakula net,acha wabaki na internet yao,soko huria bana!nawasihi na nyie muhame ili wapate somo