wateja elfu 5 wahama AIRTEL ONYOOOO

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
Airtel kampuni inaheshimika ila kwa siku mbili wameanza kuzingua internet.
kwanza huduma ya 2500 ya net wamefunga hii imepelekea wateja elfu tano kuhama kwa siku je wiki
pili siku nzima internet yenunazingua hebu fanyani mambo
onyoo mkishindwa kutupa huduma nzuri tutahama na tutaenda TCRA
 
Basi nauli imepanda baada ya kuona abiria tumejaa sasa tumeamua kurudi kwenye bajaji na bito!
 
Hata mimi ninahama hili bundle la mwisho la 2500 nililoweka last week. Bye bye airtel
 
airtel kwaherini na buriani kama tigo,spidi yenu ilikuwa ndogo lakini nilivumilia kwa sababu ya gharama.
 
mi nimehama rasmi jana,nishavuta line yangu ya zantel nakula net,acha wabaki na internet yao,soko huria bana!nawasihi na nyie muhame ili wapate somo
 
Back
Top Bottom