watch: FREEEMASONS LIVE ndani ya CLOUDS TV now!!

hawa hawajui wafanyalo!


Yupo bwana wa majeshi anayetawala na ataendelea kuwepo.
Na hakika alimtuma mwana wake wa pekee hapa ulimwenguni kusudi yule mtu yeyote atakayemwamini naye atakuwa ameokoka na yule asimwamini huyo atakuwa ndugu na hao wanaojiita freemason.

Njia pekee ya haki na kweli ni kubaki ktk imani ya ukweli ya kwmb hakika yupo mungu anayeishi na ataendelea kuishi. Na tofauti na hapo hakika utakuwa mwana wa hao freemason.

Fanya uchaguzi mapema ndg yangu!

ameniiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!
 
Daudi mchambuzi said:
Hakuna kitu inayoitwa freemasons,
Hii ni propaganda ya wazungu kuwapotezea wajinga muda

:confused2:mh hilo nalo neno...
 
Mmh sasa bado nakuwa na mashaka,
wanawezaje kutaja genge kubwa kama hilo
wakati hawana lolote, na hiii clouds inazidi kutuchanganya, lol.

wale hawana cha u-freemaasons wowote, watakuwa waganga wa kienyeji tu ambao na wao wanajihis/wanajiona freemasons kwasababu tu wanafanya vitu vya kichawi/kishirikina...

walikuwa wamepiga shanga-shanga makoro-koro kibao wakati freemasons wenzao wa ukweli akina Bush wanapiga masuti ya ukwee tu no shanga-shanga wala koro-koroz.....!!!
 
Back
Top Bottom