watch: FREEEMASONS LIVE ndani ya CLOUDS TV now!!

Those people n hatari sana,wajaribu kuulizwa kuwa wao n fremns?-HAWAJIBU.
Point yao n kwamba ni dini nzuri kama dini zingine
 
wanasema freemasons manake ni waashi huru, na wao ni waashi huru...
 
ansema lodge ya freemasons ipo karibu ni kilamanjaro hotel, anajiuma uma tu hawaeleweki....
 
wanaonekana wazushi tu hawajielewi wanaulizwa maswali wanashindwa kujibu... wakina gea wanawacheka tu...
 
This guys are phony...hawaeleweki hata wanaongea nini....mara misalaba ni symbolism ya freemason yaani ni some sheikhs ambao wako very shallow

yeah,Bunch of retards,wanashusha hadhi ya chama.
:smash:

attachment.php

attachment.php
 
wameagwa/wameondoka studio, wameonekana wanapoteza tu muda wa kipindi, wameonekana hawajui lolote la ufreemasons....

wale watakuwa waganga wa kienyeji tu ambao na wao wanajihis/wanajiona freemasons kwasababu tu wanafanya vitu vya kichawi/kishirikina...
 
Ni waganga njaa waliorukia band wagon ya Freemason kama kina Dina wangetaka info za Freemason wangepata tu kwenye internet, since Freemason ni a secret society walitegemea kweli kupata member wa ukweli?
 
Ni waganga njaa waliorukia band wagon ya Freemason kama kina Dina wangetaka info za Freemason wangepata tu kwenye internet, since Freemason ni a secret society walitegemea kweli kupata member wa ukweli?

wamepiga shanga-shanga makoro-koro kibao wakati freemasons wenzao wa ukweli akina Bush wanapiga masuti ya ukwee tu no shanga-shanga wa koro-koro.....!!!
 
Back
Top Bottom