''Mikataba Imeisha'' ya Clouds Tv ni program ya kidhalilishaji inayokiuka haki ya usiri mfanyakazi anapomaliza muda wake

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,891
155,894
Clouds Media Group wamiliki wa Clouds TV, wameanza kupunguza wafanyakazi kwa namna ya kidhalikishaji na ukiukaji mkubwa wa haki ya Usiri na faragha.

Tumeona watangazaji kadhaa wakianikwa mitandaoni kwamba mikataba yao imeisha na wameachwa.

Tunaomba uongozi wa Clouds Media kuacha mara moja udhalilishaji huu. Waheshimuni watangazaji wenu, bila ya wao nyie sio kitu.

mkataba umeisha.jpg
 
Tunaomba uongozi wa Clouds Media kuacha mara moja udhalilishaji huu. Waheshimuni watangazaji wenu, bila ya wao nyie sio kitu
Toka jasiri mwongoza njia atutoke hao jamaa hawana jipya.
 
Labda ni Makubaliano yaliyo ndani ya Mkataba Hatuwez Kujua. Tatizo sisi Watanzania Tukiletewaga Mikataba Tunakimbilia Moja kwa moja Sehemu ya Saini hatutaki kabs kusoma Vifungu na sheria za kazi husika,

Na hili tatizo kibaya zaidi Limepanda mpaka Juu huko Yani mtu akiletewa tu mkaratasi Kazi yake ni kukimbilia sehem ya Saini mwishoe Unawaingiza wengne wasio na hatia kweny Utapeli.

Hii paragraph ya pili haihusiani kabsa na Mada Tajwa hapo Juu.

Asanteni
 
Mtu mzima kama wewe kufuatilia mambo ya kijinga ni aibu, mind your own business kaka acha watu na shughuli zao.
Interesting, watanzania tunapenda sana gossiping na mambo yasiyokuwa na maana, utaskia usiwe serious sana na maisha! Hata kama ila kuna baadhi ya mambo kufuatilia hapana kwakwleli, kwanza Mimi akija mtu kuniambia(say) umeona artist flani alichokifanya kiukweli huwa najitathmini hivi kwaasa nikoje amenionaje huyu au ameniona nafanania na mambo hayo ya udaku na gossiping

Kama refresh nataka niangalie content ya ya huyo artist (say) comedian niangalie clips zake au naipenda simba niangalie games zake na taarifa zake official lakini sio drama binafsi za celebrity wala umbeya wa manara mfamo kipindi bado yupo simba uanze kunishughulisha au Ahmed ally....kuna kipindi hata simba nikiona kama hapa wanatembea na upepo au hisia za watu basi huwa siifatilii isipokuwa ikiwa inacheza, sipendi kuwa serious na kufuatilia sana visivyo na maana sana

Na ndio as time goes kwa vituo vya habari vya burudani naona kama nazidi kuamia sana azam maana kwingine content zao nyingi naona zina suit tuvijana twa 17 na watu wazima wapenda udaku ukiondoa baadhi ya vipindi vichache bado wapo vizuri
 
Clouds Media Group wamiliki wa Clouds TV, wameanza kupunguza wafanyakazi kwa namna ya kidhalikishaji na ukiukaji mkubwa wa haki ya Usiri na faragha.

Tumeona watangazaji kadhaa wakianikwa mitandaoni kwamba mikataba yao imeisha na wameachwa.

Tunaomba uongozi wa Clouds Media kuacha mara moja udhalilishaji huu. Waheshimuni watangazaji wenu, bila ya wao nyie sio kitu.

View attachment 2712435
Hadi Sasali kawa fired? Nimeona James Tupatupa
 
Back
Top Bottom