GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 4,978
- 6,747
Nauliza hivyo kutokana na kadhia za Muungano. Ingawa manung'uniko yamekuweko tokea mwanzo wa Muungano, watawala wekuwa kama vile wameziba masikio! Hawaambiliki, hawasikiki wala kushaurika.
~Wasomi wameshauri lakini wakapuuzwa
~ Wanasiasa wamepiga kelele lakini nao wakapuuzwa
~ Wananchi wamenung'unika tokea mwaka 1964 hadi sasa lakini bado matakea yao hayajatimizwa.
Ikiwa wasomi hawautaki, wanasiasa hawautaki, na wananchi hawautaki, huu Muungano upo kwa manufaa ya nani?
Angali:
1. Tume ya Jaji Kisanga, Nyalali, na Warioba zote zilipendekeza mfumo wa Serikali tatu
2. Wasomi wa Sheria toka Vyuo mbalimbali nchini wamelielezea hilo kitaalam lakini Serikali imeendelea kuweka pamba masikioni
3. Hata viongozi wa dini wameshaupinga muundo wa sasa wa Muungano lakini nao wamepuuzwa
4. Wazanzibari hawautaki, kadhalika na Watanganyika
5. Kama Wazanzibar wameukataa, Watanganyika wameukataa, viongozi wa dini wameukataa, wasomi wameukataa, watawala wanaamini wao ni waelewa kuwazidi Watanzania wote?

Attachments
-
Tundu_Lissu_asema_ukweli_mchungu_wa_Muungano_wetu(144p).mp411.6 MB
-
Tundu_Lissu_alivyo_fyatuka_Bunge_la_Katiba(144p).mp47.7 MB
-
KAKOBE__Mtu_anayeitaka_Tanganyika_ana_Mungu_ndani_yake(144p).mp48.9 MB
-
Mwanasheria_Mkuu_Zanzibar_aibuka_BMK,_apiga_kura_kukataa_Ibara_muhimu_Katiba_inayopendekezwa(1...mp47 MB
-
Othman_Masoud_aeleza_jinsi_Muungano_unavyoibana_Zanzibar(144p).mp48 MB
-
Othman_Masoud_asema_kwa_Muungano_huu,_Zanzibar_imegeuzwa_koloni(144p).mp44.1 MB
-
__Wazanzibari_39,999___yataka_muungano_uvunjwe(144p).mp41.8 MB