Watarajiwa wa ajabu!

...haya bana, niwie radhi. Mkono umeteleza!

...indoors bro! Debit na Credit cards zangu zinakuwa more safe kwenye friji!
temptations nyingi huko nje, LOL...
:focus:

...mtu akikutenda namna hii, halafu baada ya siku mbili tatu kinawaka huko kwenye ndoa yake utamuona mbio anakujia
'a shoulder to cry on!' Kazi kwako ukiamua kuwa 'Doormat' lake!

Anyway, tunashauriwa kuwaombea mungu huko waendako.
Jipe moyo..."Kila likuepukalo,....!"
My bank has issued me with credit facility so you can see me if you need any help lol
 
Mwaka jana kuna rafiki yangu ailkutana na msichana mmoja aliyesoma nae!Kwa muda msichana alimganda sana mshkaji na "I LOVE YOU" kibao.Mwezi uliopita mshkaji anaambiwa hivi unajua fulani kaolewa juzi?
Si zaidi ya miezi miwili kuna mshkaji wangu nae alikua ananiimbia nyimbo hizo hizo..leo ananiambia nijiandae kwa kadi ya harusi.

Nikajiuliza sasa hawa watu hua wanawachukulia vipi hao wachumba wao?Watu wengine kua nao ni hasara tu kwa kweli.Nawaonea huruma watarajiwa wao!Mungu awape ujasiri!

Ndiyo mana mtu na I Love You kibao mie sishtuki maana sijui muda huyo mtu anakuwa serious kimapenzi!!..na wengine kusema I love You ni kawaida sana wamaanishe au wasimaanishe!!
Haya tenga fungu la mchango mamii:)))
 
I Love You BJ haujashtuka bado kama i mean it.
 
Ndiyo mana mtu na I Love You kibao mie sishtuki maana sijui muda huyo mtu anakuwa serious kimapenzi!!..na wengine kusema I love You ni kawaida sana wamaanishe au wasimaanishe!!
Haya tenga fungu la mchango mamii:)))
Hahahaha!Haki ya nani sichangii...labda kama wakiachana atanirudishia!
 
Mwaka jana kuna rafiki yangu ailkutana na msichana mmoja aliyesoma nae!Kwa muda msichana alimganda sana mshkaji na "I LOVE YOU" kibao.Mwezi uliopita mshkaji anaambiwa hivi unajua fulani kaolewa juzi?
Si zaidi ya miezi miwili kuna mshkaji wangu nae alikua ananiimbia nyimbo hizo hizo..leo ananiambia nijiandae kwa kadi ya harusi.

Nikajiuliza sasa hawa watu hua wanawachukulia vipi hao wachumba wao?Watu wengine kua nao ni hasara tu kwa kweli.Nawaonea huruma watarajiwa wao!Mungu awape ujasiri!

Lizzy hao ndio wale wale wasiojua I LOVE U ni nini, mchumba ni nini na most importantly ndoa nini... watu kama hao do you think hizo ndoa zitakua na uaminifu?
 
Ndo wasiwasi wangu huo mpendwa!Kama uchumba tu ni wa mashaka hizo ndoa sijui zitakuaje!
 
Ndiyo mana mtu na I Love You kibao mie sishtuki maana sijui muda huyo mtu anakuwa serious kimapenzi!!..na wengine kusema I love You ni kawaida sana wamaanishe au wasimaanishe!!
Haya tenga fungu la mchango mamii:)))

...lol! BJ, ukiambiwa i love you jibu "asante!" bana.
 
Kumbe jibu standard la 'i love you' ni 'asante'?...
Hizi 'i love you' ziwe ngapi au za muda gani ndo zihesabike ni za ukweli....
:A S-heart-2:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kuna mtu yeyote anayeweza kunisaidia kwa kuniambia leo ni tarehe gani ya mwaka upi?

Nawatakieni Christmass njema..............:A S shade:
 
mjukuu wa jana atakuwa kakutenda mabaya.....badala ya kuharibu biolojia, hadi ubongo kauchakachua? ulikagua sehem zipi hasa manake zingine lazima upate ukichaa tu....habar yako bana hommie
 
dah...hommie

Mi mgeni hapa mjini....
 
<p>
mjukuu wa jana atakuwa kakutenda mabaya.....badala ya kuharibu biolojia, hadi ubongo kauchakachua? ulikagua sehem zipi hasa manake zingine lazima upate ukichaa tu....habar yako bana hommie
</p>
<p>&nbsp;</p>
nadhani huyo mjukuu wa jana alim-format kabisaa,kasahau hadi mwaka!anahitaji installation upyaa.shkamoo babu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom