Watanzania wengi leo wamefurahia Taifa Stars kufungwa na Morroco, sababu kubwa ni TFF kuruhusu siasa kwenye soka

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Kila vijiwe watu wanachekelea tu

Ziech ziech.

Huu upuuzi umefanya stars kuchukiwa.👇
20231122_102822.jpg
 
❌ watanzania wengi
âś… Watanzania wengi wa Jamii forums
 
CCM na wao si wanashabikiaga mpira.
Labda wameamua kutumia hiyo platform kumbrand mama.
 
Back
Top Bottom