Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Lole Gwakisa,
Kwenye Traffic Engineering, unatakiwa KUWALAZIMISHA Madereva wafuate sheria na WATEMBEA KWA MIGUU pia kuwalazimisha wafuate sheria. Utafanya nini ili wafuate sheria, hapo inakuja sasa kazi kwa hao Wahandisi na vyombo vya kulinda sheria na usalama. Zipo njia nyingi sana za kufanya hivyo, ukiacha MATUTA.
Katika hivyo, sijawahi kusikia KUTUMIA mabomu ya machozi au bunduki..........
Sehemu yoyote iliyo na watu/wanafunzi/watoto, wewe kama dereva unatakiwa kupunguza mwendo na kuwa mangalifu sana hata kama hamna kibao. Hili analifahamu kila dereva aliyeenda shule na kupata licence yake ya kuendesha kihalali.