Watanzania waliosoma Havard

Inawezekana wengine walihudhuria tu madarsa Harvard bila kuelimika.
Halafu kuna Harvard na Howard. Pia kuna wanafunzi wachache sana at postgrad level ambao admission requirements zinakua waved hasa kama ni kiongozi kutoka developing countries na kapendekezwa na serikali, kuna vi scholarship vya aina hiyo.
 
Alisoma Harvard kwa nguvu ya kuwa ex-Prime Ministrer na pesa ya kulipia tuition, na siyo sana sababu ya rigorous intellectual capability aliyokuwa nayo kama undergraduates wengi wanaoshindania nafasi ya kusoma Harvard kila mwaka.
 
Kwa kusema ukweli ulio moyoni kwangu Sioni Kama kuna faida ya Taifa kuwajua. Kuna Watanzania kadhaa ni Maprofesa wa vyuo vikubwa Marekani na Canada. Kuna Watanzania wanafanya kazi sehemu nyeti akiwamo mmoja ni namfahamu personal yuko pale Cape Canaveral ( NASA) pale Florida. Kuna vichwa viko IBM n.k. Kama Taifa halikutambua au halitambui hivi Vichwa basi Taifa linastahili kutopata faida ya michango Yao kwa Jamii na Ulimwengu kwa ujumla. Asante mkuu.

Na wewe umesoma hapona uko NSA
 
Back
Top Bottom