Bwenyenye254
Member
- Mar 13, 2021
- 50
- 83
Habari WaTanzania!
Mimi ni mzungumzaji mzuri wa lugha ya kiswahili lakini si kwa kiwango cha ufasaha kama cha Watanzania.
Ningependa ku-improve kiswahili changu kiwe na flow na ufasaha kama chenyu nyinyi wabongo.
Kwa maantiki hiyo, naomba nianzishe mjadala hapa ambapo ningependa kuwauliza Watanzania kutoa mapendekezo ya wasemaji bora wa Kiswahili(best public speakers) ili niweze kuboresha ufasaha wangu kupitia kujifunza kutoka kwa wazungumzaji wa lugha hii asili(native speakers).
Ningependa sana mapendekezo yenu yawe kuhusu watu maarufu ambao ni rahisi kupata maudhui yao kwenye mitandao ya kijamii na sehemu nyinginezo.(People in the limelight because it is easier to find their content on social media like YouTube).
Ningependa pia kupata mapendekezo ya vitabu vya kusoma.
Ikumbukwe kuwa kiswahili changu kiko advanced kidogo ila kina mapungufu hapa na pale kwa sababu hapa Kenya kiswahili chetu kiko corrupted kwa hivyo ni rahisi kusahau misamiati kwa kukosa kuzungumza kiswahili sanifu kwa muda.
Nitashukuru sana mkinipata suggestions of the best public speakers to learn from.
Ninashukuru, Mungu aendelee kuibariki Tanzania
Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app