Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

Watanzania hakuna tunaloliweza aisee
Sisi naona tuti......ne tu
Nimesoma comments inaonekana nida ni vichwa maji. Bila bila.
Hivi majuu wanatumiaga uchawi gani jamani. Mpaka nakasirika aisee.
Vijana wamesoma IT wana design sysytemsili kurahisisha mambo system zenyewe hazifanyi kazi ilokusidiwa. Akili za kudesa desa tu mavyuoni
Na log off nsije nkafa kwa hasira
 
kama ulijiandikisha na namba ukapata unaweza ukaprint kitambulisho chako mwenyewe unavyoendelea kusubiri kuletewa chao
 
Back
Top Bottom