Watanzania wafika Sayari ya Mars

SILVANUS S SWAI alimaliza ilboru,,akala saba,,A 8 na B 2,Mwaka 2007

0097
M
SILVANUS S SWAI
7
I
CIV-A HIS-A GEO-B KIS-B ENG-A PHY-A CHE-A BIO-A BAS-A ADD-A

hawa jamaa waongo, kwanza hawa ni wamasai, huyo Silvanus Swai atakuwa ni mchaga.
 
Habari za kukoleza tu hzi......did the Curiosity Rover land in Mars last year wt pipoz???
 
SILVANUS S SWAI alimaliza ilboru,,akala saba,,A 8 na B 2,Mwaka 2007

0097
M
SILVANUS S SWAI
7
I
CIV-A HIS-A GEO-B KIS-B ENG-A PHY-A CHE-A BIO-A BAS-A ADD-A

kama ni huyu then ni uwongo,,, huyu yupo u.d, telrvommunication engineering,, alikua form one nikiwa form four pale ilboru,, na ni rafiki yangu mpaka leo, na hana pacha,,, haiwezekani ikawa yeye
 
" We shall grant you an interview after we have met the president, " they stated over the weekend in Ngorongoro District. Salvanus and Sylvanus will be special guests at the State House in Dar es Salaam this week when they meet President Jakaya Kikwete. The twins, born with extraordinary skills , said they will not be giving any official statement or interview and refused to take any photos
prior to their meeting with the Head of State.
vipi wafuatiliaji wa mambo, tujuzeni kama walishaonana na JK au ndio story imepita hivyo!!!?
 
hii habari haijakaa sawa nakubaliana na waliotilia mashaka, inakuwaje wafike Mars na habari zao zipo blog za bongo tu, mitandao ya kimataifa hawapatikani, picha zao ni siri yao, mtu yuko majaribio ya degree ya kwanza hata hajaspecialize anaruhusiwa kufanya operation ya kichwa mwenyewe, hawaruhusiwi kuongelea wanakotokea mhhhhh
 
japo sijaisoma habari yenyewe ila itakuwa watanzania ila hawakai tanzania
Wangekuwa huku tungeshawakamat ana kuwafungulia mashtaka ya kutishia usalama wa nchi. Utarukaje juu bila idhini kutoka Aviation Authority!! unataka uruke halafu udumbukie Magogoni utuletee matatizo?
 
hii habari haijakaa sawa nakubaliana na waliotilia mashaka, inakuwaje wafike Mars na habari zao zipo blog za bongo tu, mitandao ya kimataifa hawapatikani, picha zao ni siri yao, mtu yuko majaribio ya degree ya kwanza hata hajaspecialize anaruhusiwa kufanya operation ya kichwa mwenyewe, hawaruhusiwi kuongelea wanakotokea mhhhhh
Hata Babu yangu kabla hajafariki alikua anatembelea ANGA za juu kila siku usiku...
 
japo sijaisoma habari yenyewe ila itakuwa watanzania ila hawakai tanzania
Wangekuwa huku tungeshawakamata na kuwafungulia mashtaka ya kutishia usalama wa nchi. Utarukaje juu bila idhini kutoka Aviation Authority!! unataka uruke halafu udumbukie Magogoni utuletee matatizo?
 
wangekuwa huku tungeshawakamat ana kuwafungulia mashtaka ya kutishia usalama wa nchi. Utarukaje juu bila idhini kutoka aviation authority!! Unataka uruke halafu udumbukie magogoni utuletee matatizo?

hahahaaaaaaaa!
 
Hivi aliyelete habari hii anafahamu alichokiandika nadhani amefanya hivi akijua watu wengi hawafuatilii mambo yanayohusiana na safari za anga za juu, ushauri wangu naomba aliyeleta habari hii ajipange upya asifikiri kila mtu ni mbumbumbu.
 
Japo sisi huku tupo bize na kubinafsisha morogoro road, nawapongeza sana.
 
Wasije sasa na wao wakaukana uraia wao wakakimbilia kuchukua uraia wa marekani,but tuwape hongera zao.
 
Back
Top Bottom