elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,705
nimefurahi sana kusikia hii habari lakini nadhani imekuwa exagrated hivyo nina mashaka na hiyo kuorbit around the mars planet kwakuwa according to what I have read from different sources ni kwamba bado mpaka hakuna mwanadamu ambaye ameweza kuwa ndani ya chombo chochote kilichotumwa mars hii ni kutokana na sababu kuwa vyombo vinavyokwenda mars vinachukua zaidi ya mwaka mpaka kufika.
NASA wanategemea kumtuma mwanadamu mars by mid 2030 ku orbit sayari ya mars sasa nashangaa hii habari imetoka wapi!?
Soma hapa kwa maelezo zaidi Manned mission to Mars - Wikipedia, the free encyclopedia