Watanzania tutavumilia hadi lini?

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,034
1,003
Jamani Great thinkers naomba niulize tutavumilia hadi lini upuuzi huu.MEREMETA,KAGODA,KIWIRA,UNUNUZI WA RADA,EPA,RICHMOND NA SASA DOWANS na ufisadi mwingine mwingi tu uliolighalimu Taifa bila mtu hata moja aliyehusika kuwajibishwa?Sasa kwa haya huo uwezo wetu mkubwa wa kufikiri upo wapi? "Yaliyo pita ni ndwele" pia "kombe halifunikwi na mwanaharamu hapiti" na wasilisha hoja na asanteni
 
Hivi kizazi hiki hakuna wanamapinduzi kama wale wa enzi zile akina Fidel Castrol, Che Guevara,......n.k
 
viongoz wetu wamekosa uthubutu coz thy r involvd too mch kwny huo ufisadi...na wamekosa kile ki2 alichosema jeneral pale nkurumah 'ethos'!
 
Back
Top Bottom