Watanzania tunakumbuka Mbowe aliahidi kustaafu 2023 na Zitto Kabwe 2024!

Tunakumbushana tu Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe akihutubia mkutano wa BAWACHA pale Mlimani City aliahidi kustaafu rasmi 2023 na kwamba anatamani mrithi wake atoke BAWACHA

Kadhalika mh Zitto Kabwe aliahidi kustaafu rasmi kama Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo 2024

Jumaa Mubarak 😄😄🔥
Tuanzie na nyani kikongwe ccm kwanza
 
Nasoma comments za wanachadema wanasisitiza kabisa si lissu, mnyika, pastor msigwa, heche au sugu, wote hawa hawatoshi kuwa wenyeviti Bali ni mbowe pekee, hata mbowe mwenyewe hawaamini hawa ndomana alitamani mwenyekiti atokee bawacha na hasa halima mdee!!
 
Kwani ruzuku kwa vyama vya siasa zimefutwa........!

Kama mnataka vurugu endeleeni na hizo chokochoko zenu.
 
Tunakumbushana tu Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe akihutubia mkutano wa BAWACHA pale Mlimani City aliahidi kustaafu rasmi 2023 na kwamba anatamani mrithi wake atoke BAWACHA

Kadhalika mh Zitto Kabwe aliahidi kustaafu rasmi kama Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo 2024

Jumaa Mubarak
Acha kuchokonowa kilindini!
 
Hivi Prof. Lipumba na Mhe. Cheyo, wamekuwa venyekiti kwenye vyama vyao kwa muda gani?

Kwanini Chadema pekee ndio inayoandamwa. Kuna agenda gani?
 
Kuna chama cha upinzani ambacho kiongozi wake amewahi achia uenyekiti? Ndiyo maana natamani CCM iendelee tu kutuibia, wapinzani ni miyeyusho sana.
 
Tunakumbushana tu Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe akihutubia mkutano wa BAWACHA pale Mlimani City aliahidi kustaafu rasmi 2023 na kwamba anatamani mrithi wake atoke BAWACHA

Kadhalika mh Zitto Kabwe aliahidi kustaafu rasmi kama Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo 2024

Jumaa Mubarak 😄😄🔥
Lisu: 'Kama kustaafu, wazo Litoke kwa wanachama wa Chadema, siyo Litoke CCM';
 
Tunakumbushana tu Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe akihutubia mkutano wa BAWACHA pale Mlimani City aliahidi kustaafu rasmi 2023 na kwamba anatamani mrithi wake atoke BAWACHA

Kadhalika mh Zitto Kabwe aliahidi kustaafu rasmi kama Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo 2024

Jumaa Mubarak 😄😄🔥
Kwahio??
 
Mbowe astaafu?

Astaghafirullah
 
Tunakumbushana tu Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe akihutubia mkutano wa BAWACHA pale Mlimani City aliahidi kustaafu rasmi 2023 na kwamba anatamani mrithi wake atoke BAWACHA

Kadhalika mh Zitto Kabwe aliahidi kustaafu rasmi kama Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo 2024

Jumaa Mubarak 😄😄🔥
Mbowe hajiweki kwenye madaraka ya chama mwenye ,utaratibu ndani ya chama upo wazi ,unataka tangaza nia ,chukua form kaombe kura ukipita ongoza chama,

Alafu nyie mfumo wenu wa ccm kwamba mwenyekiti wenu ndo lazima awe rais ,hamuoni ni wa kipuuzi? Rais mwenyewe majukum ya nchi yana mwelemea bado mnampa mavyeo ya chama,

Igeni chadema acheni ushamba , rais akatekeleze majukum ya kitaifa.

Juzi mlitoka huko sijui mtwara mmeunguza pesa wee katika kivuri cha ziara ya kiserikali ,kumbe ndani yake ni ziara za ccm , sasa anatafuta zingine akirudi utamsikia sijui wapi kwingine

Ccm uchaguzi ukifanyika hamtoboi
 
Tunakumbushana tu Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe akihutubia mkutano wa BAWACHA pale Mlimani City aliahidi kustaafu rasmi 2023 na kwamba anatamani mrithi wake atoke BAWACHA

Kadhalika mh Zitto Kabwe aliahidi kustaafu rasmi kama Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo 2024

Jumaa Mubarak 😄😄🔥

CCM nayo je, nakumbuka imekuwa ikiahidi uchaguzi huru na wa haki. Kulikoni kuendelea kubaka chaguzi Ili kuendelea kukaa madarakani?

Vipi kurunzi lako kuwahusu Cheyo, Lipumba, Mzee wa ubwabwa, Wassira, Lulandala, JK na wengi tu huko kwenu hauna neno lolote kwao?
 
Back
Top Bottom