Pascal Mayalla kama utakuwa Chadema HQ Mikocheni Leo muulize Mwamba Mbowe anastaafu lini?

Paschal Mayala
Amuulize hivi mh Mbowe
Yeye kama mpenda haki.
1. Anazungumziaje ukatili wa Isreal kwa watoto wa Palestina?
2. Anawashauri nini watz kutowapeleka watoto wao Isreal ktk maswala ya ulinzi ktk kipindi hichi cha vita? Hii baada vijana wa Tanzania kukumbwa na mtihani uliowakuta?
 
matatizo ya nchi hii hayaletwi na MBOWE bali yanaletwa na serikali iliyotawala tangu uhuru ambayo ni serikali ya CCM, hivyo mbowe kustaafu au kutostaafu halutabadilisha chochote kwa mtanzania,
kwahyo wanaotakiwa kupisha ofisi ni ccm na sio mbowe, mzee mgaya acha chokochoko.
 
Back
Top Bottom