Watanzania tumeshindwa kuelewa kuwa sisi Afrika mashariki ndio wanatuona kama kioo cha jamii hususani Kenya

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
4,116
9,849
Watanzania bado tujashtuka kuhusu ili li nchi letu kutokutambua kuwa sisi hapa afrika mashariki ndio role modo wa nchi zote afrika mashariki.

Ukinagalia swala la sanaa kabisa unaona sanaa ya tz inapendwa niliona yule kicheche alivopokelewa congo au reyvan.

Tuje kwenye maendeleo hapa tanzania yani tz mpaka mikoani na vijijini ni majumba ambayo yamejengwa kwa ubora ukilinganisha na wenzetu ardhi ni ngumu kupata,usalama,ukame au kuwa hatari kwa majengo.

Tz ingejitambua ingekuwa ndio mtambulishaji wa kiswahili na mambo mengine ukilinganisha kenya anatumia sana code za tz kila jambo kujionesha yeye ndio best.
 
Back
Top Bottom