Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,806
Taharuki ya nini nyie kazi kuwaziana mabaya tu badala ya Mema yatupasa tupendane na kuombeana kama Mungu anavyotupenda..umezidisha taharuki mzee.

MATAGA bana, hofu yenu ni kukosa fursa,Naamini masaa haya 24 yataamua na Watanzania wataweza kujua au kujuzwa kinachoendelea kuhusu afya ya Rais Magufuli. Mwanadamu ameumbwa kuishi na ameumbwa kufa. Katika haya mawili kuna kucheka na kulia, kuzaa na kuzaliwa, kuugua na kupona na magonjwa na afya.
Afya ya Rais ni jambo kubwa na zito na si jambo la kutolea tetesi ah kutangaza au kushadadia uvumi. Inasikitisha sana kuona watu ambao wanatajwa kama viongozi kufanya jambo hili kama nafasi fulani ya kufurahia au kushabikia. Kiongozi na mtu mzima anapaswa kupima sana kauli na maneno yenye kuweza kuleta au kufanya watu wataharuki.
Ni vizuri kujua kwa uhakika kabisa kuwa nchi yetu ina uwezo wa kutosha kuhimili habari mbaya kuhusu afya ya Raisi. Ni muhimu pia kujua kuwa Kuna taratibu za kikatiba zinazopaswa kufuatwa endapo mambo yoyote yanayoweza kusababisha Raisi ashindwe kuendelea na madaraka (ikiwemo ugonjwa, afya ya akili au mauti). Kama lolote linatokea Watanzania watajulishwa baada ya taratibu site kukamilisha na SIYO MAPEMA kabla ya hapo.
Hivyo basi, nawasihi na kuwaasa Watanzania wenzangu kutuliza mioyo na kusubiria taarifa rasmi (iwe mbaya, ya afueni, au nzuri) na tusieneze na kuongeza chumvi, limau na pilipili. Tumwombe Mungu kuwa lolote liwalo Taifa letu litapita salama na kuwa mwisho wa siku sote tutakuwa tumejiuliza maswali na tumejifunza kwa Yote.
Tusiishi kwa hofu na tetesi. Vyovyote vile ukweli utajulikana, tutulie na Tuache taratibu ziendelee. Kukiwa nabla kujulishwa tutajulishwa Nina uhakika Kuna watu wazima na wakongwe na wenye busara. Vijana wengi wametuangusha leo; inasikitisha.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Wabariki Watanzania Wote.
Taharuki ya nini nyie kazi kuwaziana mabaya tu badala ya Mema yatupasa tupendane na kuombeana kama Mungu anavyotupenda
Wanahofia kutangaza kwani malaika mkuu anaweza ugua kama LissuUgonjwa sio siri..Mungu Ampe tahfifu..
Chuki haijapandikizwa na yoyote! Suala la kugoma kupiga kura, lilikuwepo na litaendelea kuwepo, hivi unajua mwaka 2010 asilimia 42 tu ya waliojiandikisha ndio waliopiga kura?? Huo mwaka napo chuki ilipandikizwa?Hatua zimeshachukuliwa sana, je zimefanikiwa kumalizia hiyo chuki? Chuki huondolewa kwa upendo na haki. Kinyume na hapo itakuwa ni kupoteza muda. Yaani jamaa kapandikiza chuki mpaka watu wamegoma kupiga kura, hapo bado hujiulizi tu.
Huo uteuzi haujafanyika jana. Ulifanyika siku hiyo hiyo usiku baada ya kuongea pale Nachingwea.Kwani ile barua ya uteuzi hukuiona mwenzetu? Sie tunajua ni mzima kabisa na Jana kafanya uteuzi na utumbuaji, hofu yako ni nini? Nyie ndio mnaijaza jamii yaharuki maana msigwa alipost barua za kutumbua nyie mmekazana na upupu wenu.
Naamini masaa haya 24 yataamua na Watanzania wataweza kujua au kujuzwa kinachoendelea kuhusu afya ya Rais Magufuli. Mwanadamu ameumbwa kuishi na ameumbwa kufa. Katika haya mawili kuna kucheka na kulia, kuzaa na kuzaliwa, kuugua na kupona na magonjwa na afya.
Afya ya Rais ni jambo kubwa na zito na si jambo la kutolea tetesi ah kutangaza au kushadadia uvumi. Inasikitisha sana kuona watu ambao wanatajwa kama viongozi kufanya jambo hili kama nafasi fulani ya kufurahia au kushabikia. Kiongozi na mtu mzima anapaswa kupima sana kauli na maneno yenye kuweza kuleta au kufanya watu wataharuki.
Ni vizuri kujua kwa uhakika kabisa kuwa nchi yetu ina uwezo wa kutosha kuhimili habari mbaya kuhusu afya ya Raisi. Ni muhimu pia kujua kuwa Kuna taratibu za kikatiba zinazopaswa kufuatwa endapo mambo yoyote yanayoweza kusababisha Raisi ashindwe kuendelea na madaraka (ikiwemo ugonjwa, afya ya akili au mauti). Kama lolote linatokea Watanzania watajulishwa baada ya taratibu site kukamilisha na SIYO MAPEMA kabla ya hapo.
Hivyo basi, nawasihi na kuwaasa Watanzania wenzangu kutuliza mioyo na kusubiria taarifa rasmi (iwe mbaya, ya afueni, au nzuri) na tusieneze na kuongeza chumvi, limau na pilipili. Tumwombe Mungu kuwa lolote liwalo Taifa letu litapita salama na kuwa mwisho wa siku sote tutakuwa tumejiuliza maswali na tumejifunza kwa Yote.
Tusiishi kwa hofu na tetesi. Vyovyote vile ukweli utajulikana, tutulie na Tuache taratibu ziendelee. Kukiwa nabla kujulishwa tutajulishwa Nina uhakika Kuna watu wazima na wakongwe na wenye busara. Vijana wengi wametuangusha leo; inasikitisha.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Wabariki Watanzania Wote.
Chuki haijapandikizwa na yoyote! Suala la kugoma kupiga kura, lilikuwepo na litaendelea kuwepo, hivi unajua mwaka 2010 asilimia 42 tu ya waliojiandikisha ndio waliopiga kura?? Huo mwaka napo chuki ilipandikizwa?
Sababu gani?Kwa sasa hivi Sababu kubwa iliyopo ni hii ,huo Mwaka 2010 napo palikuwa na Sababu zake pia.
Vijana wengi wametia aibu mno! Tena wana justify kwa visababu vya kipumbavu. Hii nchi ina mizizi mirefu, chujio litafanya kazi yake na kutoa funzo.
Taharuki ya nini nyie kazi kuwaziana mabaya tu badala ya Mema yatupasa tupendane na kuombeana kama Mungu anavyotupenda
Naamini masaa haya 24 yataamua na Watanzania wataweza kujua au kujuzwa kinachoendelea kuhusu afya ya Rais Magufuli. Mwanadamu ameumbwa kuishi na ameumbwa kufa. Katika haya mawili kuna kucheka na kulia, kuzaa na kuzaliwa, kuugua na kupona na magonjwa na afya.
Afya ya Rais ni jambo kubwa na zito na si jambo la kutolea tetesi ah kutangaza au kushadadia uvumi. Inasikitisha sana kuona watu ambao wanatajwa kama viongozi kufanya jambo hili kama nafasi fulani ya kufurahia au kushabikia. Kiongozi na mtu mzima anapaswa kupima sana kauli na maneno yenye kuweza kuleta au kufanya watu wataharuki.
Ni vizuri kujua kwa uhakika kabisa kuwa nchi yetu ina uwezo wa kutosha kuhimili habari mbaya kuhusu afya ya Raisi. Ni muhimu pia kujua kuwa Kuna taratibu za kikatiba zinazopaswa kufuatwa endapo mambo yoyote yanayoweza kusababisha Raisi ashindwe kuendelea na madaraka (ikiwemo ugonjwa, afya ya akili au mauti). Kama lolote linatokea Watanzania watajulishwa baada ya taratibu site kukamilisha na SIYO MAPEMA kabla ya hapo.
Hivyo basi, nawasihi na kuwaasa Watanzania wenzangu kutuliza mioyo na kusubiria taarifa rasmi (iwe mbaya, ya afueni, au nzuri) na tusieneze na kuongeza chumvi, limau na pilipili. Tumwombe Mungu kuwa lolote liwalo Taifa letu litapita salama na kuwa mwisho wa siku sote tutakuwa tumejiuliza maswali na tumejifunza kwa Yote.
Tusiishi kwa hofu na tetesi. Vyovyote vile ukweli utajulikana, tutulie na Tuache taratibu ziendelee. Kukiwa nabla kujulishwa tutajulishwa Nina uhakika Kuna watu wazima na wakongwe na wenye busara. Vijana wengi wametuangusha leo; inasikitisha.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Wabariki Watanzania Wote.
Inawezekana amelazwa Mirembe hospital?Naamini masaa haya 24 yataamua na Watanzania wataweza kujua au kujuzwa kinachoendelea kuhusu afya ya Rais Magufuli. Mwanadamu ameumbwa kuishi na ameumbwa kufa. Katika haya mawili kuna kucheka na kulia, kuzaa na kuzaliwa, kuugua na kupona na magonjwa na afya.
Afya ya Rais ni jambo kubwa na zito na si jambo la kutolea tetesi ah kutangaza au kushadadia uvumi. Inasikitisha sana kuona watu ambao wanatajwa kama viongozi kufanya jambo hili kama nafasi fulani ya kufurahia au kushabikia. Kiongozi na mtu mzima anapaswa kupima sana kauli na maneno yenye kuweza kuleta au kufanya watu wataharuki.
Ni vizuri kujua kwa uhakika kabisa kuwa nchi yetu ina uwezo wa kutosha kuhimili habari mbaya kuhusu afya ya Raisi. Ni muhimu pia kujua kuwa Kuna taratibu za kikatiba zinazopaswa kufuatwa endapo mambo yoyote yanayoweza kusababisha Raisi ashindwe kuendelea na madaraka (ikiwemo ugonjwa, afya ya akili au mauti). Kama lolote linatokea Watanzania watajulishwa baada ya taratibu site kukamilisha na SIYO MAPEMA kabla ya hapo.
Hivyo basi, nawasihi na kuwaasa Watanzania wenzangu kutuliza mioyo na kusubiria taarifa rasmi (iwe mbaya, ya afueni, au nzuri) na tusieneze na kuongeza chumvi, limau na pilipili. Tumwombe Mungu kuwa lolote liwalo Taifa letu litapita salama na kuwa mwisho wa siku sote tutakuwa tumejiuliza maswali na tumejifunza kwa Yote.
Tusiishi kwa hofu na tetesi. Vyovyote vile ukweli utajulikana, tutulie na Tuache taratibu ziendelee. Kukiwa nabla kujulishwa tutajulishwa Nina uhakika Kuna watu wazima na wakongwe na wenye busara. Vijana wengi wametuangusha leo; inasikitisha.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Wabariki Watanzania Wote.
Sababu gani?
Chuki haijapandikizwa na yoyote! Suala la kugoma kupiga kura, lilikuwepo na litaendelea kuwepo, hivi unajua mwaka 2010 asilimia 42 tu ya waliojiandikisha ndio waliopiga kura?? Huo mwaka napo chuki ilipandikizwa?
Kama wwulivyouraia cha lisu na mkaumbukaKamanda Diwani kafanya kazi yake vizuri
'It was just an update on software' on the process tumegundua watu wazito sana wakifurahia kifo cha Rais wetu mpendwa
Hafi mtu hapa mpaka 2025
Kati ya waliojiandikisha milion 20, ni asilimia 42 tu ndio walipiga kura unaa za tena ngonjera! Eleza sababu kwa nn asilimia 58 iligoma kupiga kura??Hiyo 2010 asilimia 42 ndio iliyopiga kura, je waliojindikisha ni wangapi? mbona umeiruka 2015 au haitabeba utetezi wako? Huo mwaka uliotaja watu waliongezewa muda wa kujiandikisha kisa watu ni wachache? Wakati huo watu walisema hawatashiriki uchaguzi wazi wazi kisa box la kura linanajisiwa? Je idadi ya wapiga kura huo mwaka ilipikwa kama sasa, na ni kwanini ipikwe sasa kama huko nyuma chuki ilikuwepo na idadi haikupikwa? Kwa sasa tunaaminishwa watu wanaikubali sana ccm pamoja na rais, mbona hayo hayajathibitika kupitia uchaguzi huu? Je kuna haja ya kuendelea kuonea wapinzani kupitia madaraka ya rais, huku ikiwa imedhihirika wazi kuwa rais hana uungwaji mkono kiasi tunachoongopewa?
Hujakatazwa kumuombea mema mkuu.Btw nashangazwa na wayafanyayo watu. Magufuri vyovyote atakavyokuwa ,ubaya/ uzuri.
Wema au Uovu aloufanya still haistahili hata kidogo kumuombea UBAYA.
Mkuu, sasa ile mipango ya kumalizia Nyumba yako itakuwaje sasa 2020, maana naona supu inataka kuwekwa nazi,Lengo langu ni kutaka watu wapunguze kusambaza tetesi hasa Za mambo mazito. Maana chumvi zinazoongezwa njiani hadi unaogopa..maana tangu asubuhi hadi jana jioni taarifa zimekolezwa hadi hujui ipi inakaribiana na ukweli. Si, why not just wait. Hakuna jipya chini ya jua...