Habari jf,
Hiki kiilichotokea bungeni sio mara ya kwanza kwa mambo kupitishwa kwa nguvu. Sasa kwa huu ubabe unaona kabisa katiba mpya inaweza isiwe suluhu ya hili tatizo .
Bil 47 za posho zimepitishwa kwa nguvu ,watanzania tuko kimya hivi tunashida gani ? Hawa CCM watakuja mitaani ambako ndiko tuko walipa kodi wa hizo bilioni 47 za mkopo .
Kibaya Zaidi kwa maslahi ya muda mfupi watanzania tutavaa sare zao, kofia na kuunga juhudi hiki Chama kirudi tena hivi tuna shida gani?
Je, tuendelee kuomba katiba au tuangalie namna ya kutoa hii CCM?
Je nini kifanyike ? Tulipe hizo bil 47 ,tuache kulipa kodi na kwenda makazini? Au tuache kushirikiana kwa jambo lolote na CCM ? Au tuwasubiri uchaguzi 2025 tuwatoe?