Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,300
- 4,919
Chama ambacho mikutano bila kuhonga elfu tano tano bila wasanii hakijazi watu hizi hela zinatoka wapi kama sio wizi tu ccm imechokwa imebaki kutegemea dola tu
Thubutu. Huku ambako wagombea wa chama tawala wanapita bila kupingwa karibia nchi nzima?Mbona huko USA ndo hakuna Demokrasia kabisa nafuu kwetu .
Zipo nchi za kutolea mfano lakini sio USA...Thubutu. Huku ambako wagombea wa chama tawala wanapita bila kupingwa karibia nchi nzima?
Hivi ukiondokana na CCM utaweza kuishi.Katiba mbovu
Uchumi mbovu
Utendaji mbovu
Mikataba mibovu
Mipango miji mibovu
Mifumo ya haki mibovu
Uongozi na usimamizi mbovu
Haya yote ndio matunda ya CCM.
Watanzania huu ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa.
They are far better than us.Zipo nchi za kutolea mfano lakini sio USA...
USA Wana lobbyists industry...
Wana electrol college etc.... bi-partisan media...etc..
Hapana Sisi nafuu..They are far better than us.
Jeshi labda litusaidie maana hàtuwawezi kwa wizi wa kura wamejipanga vizuri sanaKatiba mbovu
Uchumi mbovu
Utendaji mbovu
Mikataba mibovu
Mipango miji mibovu
Mifumo ya haki mibovu
Uongozi na usimamizi mbovu
Haya yote ndio matunda ya CCM.
Watanzania huu ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa.
Jeshi sio kazi yake mbona rai tunatosha, hawa ukingoja hadi uchaguzi watakuwa wameuza nchi nzima hata ukiwatoa kazi bure wanatakiwa tuwachabgamkie faster kabla hawajauza nchi mzimaJeshi labda litusaidie maana hàtuwawezi kwa wizi wa kura wamejipanga vizuri sana
Kivp?Jeshi sio kazi yake mbona rai tunatosha, hawa ukingoja hadi uchaguzi watakuwa wameuza nchi nzima hata ukiwatoa kazi bure wanatakiwa tuwachabgamkie faster kabla hawajauza nchi mzima
Unataka jeshi likuondolee ccm?Kivp?
Asiyeskia la mkurugenzi huvunjika huu.Tatizo Si kuondoka CCM ,,shida Ni nani ataongoza?
Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
ChademaHarafu twende chama gani Sasa?
YeaUnataka jeshi likuondolee ccm?
Wewe ukafanye kazi gani?
Natabiri, kitatokea chama kipya chenye nguvu ambacho kitakua kinyume na utawala huu na kias flani kitakua na itikadi za JPM.
Hicho kitapendwa na wananchi na hatimaye kuchukua dora.!
Keep this Quote.
CHADEMA tumekuwa tukisema miaka yote kuwa CCM hawafai mlikuwa mkitupinga.
Unategemea hao ccm watakubali wakupe katiba mpya ili uwatoa madarakani na kuwashitaki kwa wizi mali za Uma? Didhani kama ni wajingaBila katiba mpya CCM haiwezi kuondoka madarakani. Ogopa sana kupambana na chama ambacho humo humo kuna Ikulu, Bunge, Mahakana, Majeshi yote na Tume ya Uchaguzi.
So ukipambana na CCM popote pale basi ujue unapambana na hivyo nyote 4 kwa pamoja.
Kazi ya kuanza nayo ni Kudai Katiba mpya, katiba itakayotokana na sisi wananchi.