Watanzania mwisho wetu ndio sasa

Kitty Galore

JF-Expert Member
May 24, 2011
345
100
Kila kukicha bora ya jana. Makali ya maisha yanaongezeka siku hadi siku.Umeme juu, mkaa haukamatiki, leo gesi ndio balaa. Nimeshangazwa sana na mfumuko wa bei kwenye nishati hii ya gesi, leo bei ni kg40 155000, kg15 58000 na kg 6 24000, tunaelekea wapi watz wenzangu? kwa mtindo huu tutamudu maisha?
 
Wewe ukilalama watu wanaishi tu,watza wana hela na kama huna ni wewe tu.Vitu vingapi vimepanda bei ljn watu wanapeta?
 
Ukiona minyoya jua kaliwa kamanda yaani huwezi amini kwamba
nchi yenye madini kama tz watu ndo tunaishi hivi
 
Back
Top Bottom