watanzania millioni 8 kufa kwa kansa ya damu chanzo simu za touch

Mkuu hebu tupia na source ya hii report yako ili wadau tujiridhishe?

Binafsi natumia Nokia Lumia na nimeset High Touch Sensitivity hivyo hata nikivaa gloves inafanya kazi bila shida,Ukucha pia unakubalika.

Nimejaribu kwa kutumia nyaya za earphones(unazikunja) pia inakubali tu.
Sasa hizo za mpaka damu ndo zikoje mkuu?
 
hayo magonjwa ya milipuko yenyewe hayaui hivyo ijekua kioo cha simu?

hii ni research imefanyika kwa muda wa miaka 11 imeonekana hakuna madhara ya simu

11-year long study found ?no evidence? of cell phone-related adverse health effects

Hivi kwanza kuna mechanism gani hapo mkuu yaani mpaka mm nagusa afu simu inarespond
Naomba kueleweshwa hii wadau wana jukwaa wenzangu
Maana tukielewa hapo utakuta huyu jamaa anayo Point japo Kichwa chake ya habari kina exagerations
 
wewe utakua huna simu ya touch toleo jipya kama adroid samsungs gallax version zote na toucha zote mpya jaribu kwanza kabla ya kubisha

Kama unazungumzia toleo jipya niseme la 2013,Sasa huo utafiti wa miezi Tu ndo ulete majibu yenye figure yote hiyo?

Anyway,niambie hao wabongo 8mil unampango wa kuwaua ndani ya muda gani?
 
Acha kudanganya watu…hapo ulipo chukua kitambaa lowanisha maji au hata mate then gusisha kwenye kioo uone kaama simu haitasense…

Simu kusense kwa kidole inampatia mtumiaji wa simu kumiliki simu yake kwa uhuru bila complications zozote, ebu fukiria bila hiyo technilojia nadhani ingekuwa ni taabu tupu, kwan kila mara simu zingekuwa zinajipiga,au kutuma sms bila idhin ya mtumiaji zinapokuwa mfukoni au kwenywe mkoba

swala sio kutumia kidole bali hizi zinataka ngozi tu ili mionzi iguse damu simu za touch za zamani ilikua lazima utumie kucha au kijiti lakini sio ngozi lakini hizi lazima utumie ngozi kwa mfano ya kwenye kiganja cha vidole hivyo huweza kugusa damu swali la msingi sasa kwa nini damu na isiwe kitu chochote kama zamani
 
Hivi kwanza kuna mechanism gani hapo mkuu yaani mpaka mm nagusa afu simu inarespond
Naomba kueleweshwa hii wadau wana jukwaa wenzangu
Maana tukielewa hapo utakuta huyu jamaa anayo Point japo Kichwa chake ya habari kina exagerations

mi nilivojifunza ni hivi...
Kuna layer mbili ya juu ambayo ni digitizer ambayo ni kama keyboard na chini yake kuna lcd display ambayo ni kama output

Unapogusa screen unagusa layer ya juu ambayo ni digitizer ambayo ni multi touch sensitive. Kioo kimedizainiwa kiwe sensitive na vidole kuepuka kujibonyeza kama itakuwa sensitive na kila kitu let say umeweka mfukoni kuna sarafu zikigusa inajibonyeza...

So njia rahisi ikawa ni kuweka iwe sensitive na kidole japo ukitumia surface ya rubber ambayo ina resemble surface ya kidole inakubali

Waweza tembelea youtube kujionea zaidi andika how touch screen displays work
 
Nilitaka kusema hoja nyepesi ila nimegundua hakuna hoja hapa.
Upuuzi mtupu.
 
Mimi S4 yanu ina airtouch, inasense hata kabla sijagusisha kidole... Afu bado nina gloves ukivaa unabonya touch screen yoyote bila shida.. Afu kuongelea cancer acha kudanganya watu, hata ugusishe kidole chako miaka mia bila kukitoa hupati cancer ng'o.. Unahitaji elimu kidogo ya haya maswala kabla hujakurupuka kuandika kitu, watu mmepoteza imani kabisa na wanaotengeneza mitambo siku hizi, kila kitu mnadhani wanatengeneza kuwaua.. Jamani wanaotengeneza ni kaka zenu, dada zenu, wajomba zenu.. Kwani engineers wanachimbwa au wanazaliwa na shetani? si tunasoma tunakua engineers. kwa nini niwaue sasa? Em delete post mapema
 
Haya na lap top nazo vipi mpaka kidole ndiyo cursor inahama hapo vipi !!
 
simu za touch zinapendwa sana hasa na kina mama
hapo zamani simu hizi za touch zilitengenezewa na vijiti special maarufu kama touch stick bila hivyo vijiti usingeweza kutumia simu kwa maana haitoweza ku sense
simu mpya ni kwamba bila damu haiwezi ku sense kwa maana ya kwamba ukitumia kucha haifanyi kazi wala ukitumia kijiti pia isipokua uweke kidole upande wa damu
Unaweza kujaribu mwenyewe hapo ulipo hivyo unatakiwa kufanya maamuzi sahihi kwani kuna mpango wa siri uliofichika juu ya technolojia hii

Huyu jamaa anaweza kuwa anaongelea kitu tofauti kabisa.

Touch, kina mama, ukucha,touch stick, sense, kidole, damu, kidole upande wa damu.

Duh.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hivi kwanza kuna mechanism gani hapo mkuu yaani mpaka mm nagusa afu simu inarespond
Naomba kueleweshwa hii wadau wana jukwaa wenzangu
Maana tukielewa hapo utakuta huyu jamaa anayo Point japo Kichwa chake ya habari kina exagerations

.
Kaka tatizo letu tunapenda sana ku guess ! Mtu hata hajui Touch panel ina operate vipi! afu ana buni mambo ya ajabu ajabu! (simaanishi mwanzisha uzi)
.
Kwa mfano
.
Resistive film touch panels
.
03.jpg

.
Zinataka pressure tu sasa mtu utakuta zoote anaziweka kundi moja! Duh!
 
simu za touch zinapendwa sana hasa na kina mama
hapo zamani simu hizi za touch zilitengenezewa na vijiti special maarufu kama touch stick bila hivyo vijiti usingeweza kutumia simu kwa maana haitoweza ku sense
simu mpya ni kwamba bila damu haiwezi ku sense kwa maana ya kwamba ukitumia kucha haifanyi kazi wala ukitumia kijiti pia isipokua uweke kidole upande wa damu
Unaweza kujaribu mwenyewe hapo ulipo hivyo unatakiwa kufanya maamuzi sahihi kwani kuna mpango wa siri uliofichika juu ya technolojia hii

Duh!!!! Hii kali. Usitudanganye ndugu.
 
Hivi kwanza kuna mechanism gani hapo mkuu yaani mpaka mm nagusa afu simu inarespond
Naomba kueleweshwa hii wadau wana jukwaa wenzangu
Maana tukielewa hapo utakuta huyu jamaa anayo Point japo Kichwa chake ya habari kina exagerations

mi nilivojifunza ni hivi...
Kuna layer mbili ya juu ambayo ni digitizer ambayo ni kama keyboard na chini yake kuna lcd display ambayo ni kama output

Unapogusa screen unagusa layer ya juu ambayo ni digitizer ambayo ni multi touch sensitive. Kioo kimedizainiwa kiwe sensitive na vidole kuepuka kujibonyeza kama itakuwa sensitive na kila kitu let say umeweka mfukoni kuna sarafu zikigusa inajibonyeza...

So njia rahisi ikawa ni kuweka iwe sensitive na kidole japo ukitumia surface ya rubber ambayo ina resemble surface ya kidole inakubali

Waweza tembelea youtube kujionea zaidi andika how touch screen displays work

Mimi S4 yanu ina airtouch, inasense hata kabla sijagusisha kidole... Afu bado nina gloves ukivaa unabonya touch screen yoyote bila shida.. Afu kuongelea cancer acha kudanganya watu, hata ugusishe kidole chako miaka mia bila kukitoa hupati cancer ng'o.. Unahitaji elimu kidogo ya haya maswala kabla hujakurupuka kuandika kitu, watu mmepoteza imani kabisa na wanaotengeneza mitambo siku hizi, kila kitu mnadhani wanatengeneza kuwaua.. Jamani wanaotengeneza ni kaka zenu, dada zenu, wajomba zenu.. Kwani engineers wanachimbwa au wanazaliwa na shetani? si tunasoma tunakua engineers. kwa nini niwaue sasa? Em delete post mapema

Naugana na wewe C6 Lakini kuna technology kama ya kwenye mouse touch ya laptop au hizi Airtouch kama aliyosema Dreson4 . Hizi ninanyo jua hutumia umeme wa mwili (electrons) katika sensitivity, ukitumia kitambaa cha jasho kwenye simu ya airtouch au touch ya mfumo huu Itafanya kazi bila shida. Ni sawa na ile experiment ya shule ya msingi ya kuchana nywele kisha kuvuta karatasai kwa kitana. Same applies
 
Last edited by a moderator:
mleta uzi kakurupuka hajui hata touch screen zinafanyaje kazi kagoogle usome tofauti ya resisitive touch screen (inayohitaj kijiti na kucha) na capacitive isiyohitaji kijiti usome uelewe sio kubahatisha bahatisha na kuleta takwimu mbovu za kutunga.
 
Nauza stylus(touch stick) za simu zote zenye capacitive touch screen eg samsung galaxy zote iphone, htc na nyingine nyingi bei 10000
 
Last edited by a moderator:
Naugana na wewe C6 Lakini kuna technology kama ya kwenye mouse touch ya laptop au hizi Airtouch kama aliyosema Dreson4 . Hizi ninanyo jua hutumia umeme wa mwili (electrons) katika sensitivity, ukitumia kitambaa cha jasho kwenye simu ya airtouch au touch ya mfumo huu Itafanya kazi bila shida. Ni sawa na ile experiment ya shule ya msingi ya kuchana nywele kisha kuvuta karatasai kwa kitana. Same applies

.
C6 alipita hapa!
.
:closed_2:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom