ze jackal
JF-Expert Member
- Nov 13, 2013
- 528
- 170
Mkuu hebu tupia na source ya hii report yako ili wadau tujiridhishe?
Binafsi natumia Nokia Lumia na nimeset High Touch Sensitivity hivyo hata nikivaa gloves inafanya kazi bila shida,Ukucha pia unakubalika.
Nimejaribu kwa kutumia nyaya za earphones(unazikunja) pia inakubali tu.
Sasa hizo za mpaka damu ndo zikoje mkuu?