Watanzania hawastahili kupiganiwa, wanastahili kupigwa

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,285
Nimeona ule mwezi tuliambiwa tuhamie Burundi yule msemaji alilipwa mshahara na posho around 30m kwa mwezi na halipi kodi.

Mnaambiwa tu umeme hakuna na mgao unaendelea lakini huku unaona mtu anaitwa naibu waziri mkuu ana msafara wa V8 thelathini.

Maji hayatoki lakini kuna mtu yupo na msafara wa watu mia kila siku wanasafiri kwenda nchi mbalimbali. Wanatumia karibu milioni 500 kila safari.

Kuna watu wanaitwa wakuu wa wilaya, DAS, wakuu wa mikoa na RAS wanalipwa miaka na miaka bila kufanya kazi yoyote yenye tija zaidi ya kufanya cheap politics.

Usipoteze muda kuwapigania hawa watu, wewe wapige tu.
 
Hongera kwa kutambua ilo japo umechelewa kuliwasilisha

Asilimia 99.9 ya wanaojiita wanyonge wote ni ssm na huwaambii kitu wala huwashauri kitu juu ya ssm
Familia zote za tasaf ni ssm na huwaambii chochote
 
hii nchi ngumu sanaa
FB_IMG_1710058131654_1.jpg
 
Nimeona ule mwezi tuliambiwa tuhamie Burundi yule msemaji alilipwa mshahara na posho around 30m kwa mwezi na halipi kodi.

Mnaambiwa tu umeme hakuna na mgao unaendelea lakini huku unaona mtu anaitwa naibu waziri mkuu ana msafara wa V8 thelathini.

Maji hayatoki lakini kuna mtu yupo na msafara wa watu mia kila siku wanasafiri kwenda nchi mbalimbali. Wanatumia karibu milioni 500 kila safari.

Kuna watu wanaitwa wakuu wa wilaya, DAS, wakuu wa mikoa na RAS wanalipwa miaka na miaka bila kufanya kazi yoyote yenye tija zaidi ya kufanya cheap politics.

Usipoteze muda kuwapigania hawa watu, wewe wapige tu.
Hahahaa
 
Back
Top Bottom