Watanzania acheni kufuga "Majini ya kizungu"

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Jini la kizungu ni nini? Jini la kizungu ni bunduki.

Kazi ya jini la kizungu ni nini?

Kazi ya jini la kizungu ni kuua.

Ukifuga jini la kizungu nyumbani kwako jini litatarajia kwamba utalipa kazi yake ya asili( kuua)

Litakuwa linasubiri ulipe damu.

Usipo Lipa damu litaitaka damu yako.

Mwisho wa siku utalipa damu ya mke wako, watoto wako, au damu yako au zote kwa pamoja.

Jini la kizungu lina roho. Lipo conscious.

Unapopatwa n.a. wazo la kumiliki jini la kizungu jua roho hiyo ya man to ambayo ipo attached na jini wa kizungu inakuita. Kuwa makini sana.

Mwaka 2014 brother wangu anaeishi USA since 2001 aliniita US. But niliomba kurudi bongo baada ya miezi mitatu when I learned that katika kitongoji ambacho tulikuwa tunaishi ilikuwa ni a necessity kumiliki jini wa kizungu ( kwamba bila kuwa na jini wa kizungu huwezi kuwa na guaranteed safety)

Nilisema hii sio sehemu ambayo nafsi yangu inataka kuishi. Kama itanilazimu kubeba jini wa kizungu kila siku ninapoenda kwenye mihangaiko yangu then this is not a place for me.

Mind you my brother was even living in a "hood" he was living in the " burbs" but pamoja na hilo kuwa na jini wa kizungu katika eneo hilo was as necessary as having furnitures at ur home.

# Acheni kumiliki majini wa kizungu.

# Miliki jini wa kizungu at ur own risk
 
Kuibiwa na vibaka ni uzembe.
Vibaka wakikuibia ndo utajua umhimu wake

Zipo njia nyingi za kuwa " contain" vibaka bila kutumia jini wa kizungu.

Uhitaji jini wa kizungu ku dili na vibaka
 
Moderator Nawaomba msibadilishe title ya Uzi huu kwa jina la Maxence Melo

Unaogopa kupinduliwa na wananchi?🤣🤣
 
"To stop a gunman to kill you own a gun too" simple logic.
 
"Tunadhani kuna shida kubwa sana katika ulimwengu maana kuna wimbi kubwa sana la gene tulizopandikiza kwa viumbe duniani X and Y, zimeanza kugeuka X zinaadopt kwa Y and viceversa, tunaona mbuzi anandevu huku ananyonyesha tunaona wimbi la akina mama kuota ndevu, call it gene confusions na hazitii jinsi tulivyozielekeza we work on this,closely!
 
Kuibiwa na vibaka ni uzembe.

Zipo njia nyingi za kuwa " contain" vibaka bila kutumia jini wa kizungu.

Uhitaji jini wa kizungu ku dili na vibaka
Briefly zitaje and possibly describe vere shortly hizo njia za kuwacontain vibaka please... Otherwise bro unazengua
 
Imarisha mfumo wako wa usalama " personal intelligence system"

Be smart.

Ur safety will always be guaranteed by staying smart and not staying dangerous ( having a gun)
 
HOW?!
1. Kuimarisha mfumo wa ulinzi how?
2. Be smart. HOW??? in such a circumstances ( kuvamiwa, bandits, na wakuda wengine)
 
Nilikuwa na ndoto ya kumiliki huo ufutio,😎,
Nimefuta kabisa hzo ndoto
 
Jini la kizungu ni muhimu sana hasa kwa kuzingatia 'self defense rule'..to kill or be killed.
 
Back
Top Bottom